Recent content by Arts blood

  1. A

    Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

    Samahani ni kidato cha 6 nmeedit tayari
  2. A

    Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

    Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB. Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka, shamba boy pia kama nikipata nafasi ya kujifunza fani za ufundi au uendeshaji wa magari na mitambo...
  3. A

    Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

    Muwe mnatoa credit kwa chanzo cha makala,hii post kuna mtu kaipost huko mjini Facebook we umekopi kama ilivyo na credit hutoi
  4. A

    Msaada: Huu ni ugonjwa gani na nini tiba yake?

    Hapo akachome sindano za benzalthamine penicillin,sindano tatu kila week sindano moja
  5. A

    Upande wa Giza: Kila binadamu ana siri zake za kuficha

    Ingekuwa vema ukatoa credit kwa aliyeandika andiko hili huko mjini Facebook
  6. A

    Taja rafiki ambaye alifariki dunia mapema sana na huwezi kumsahau!

    John kayabu(johsley) kazima high school tabora uliondoka kwa typhoid uliwaomba ruhusa walimu wakahisi unawadanganya kwakuwa ulikuwa mtata kidogo shuleni tutakukumbuka daima rapa ulikuwa unarap sana johsley daah😣
  7. A

    Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Bila shaka haya yote unaowafanyia ni wanaume wa dar usije ukajaribu hii kitu mkoani tutakuua
  8. A

    Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Na wachoraji wanachukua? Na wachoraji wanachukua?
  9. A

    Wachoraji tukutane hapa....

    Asante sana mkuu
  10. A

    Wachoraji tukutane hapa....

    Kama una picha kali uliyoichora dondosha hapa
  11. A

    Wachoraji tukutane hapa...

    Kama wewe ni mchoraji dondosha picha uliyoichora
Back
Top Bottom