Haja kosea ndio hivyo. Inaelezea jinsi Goguryeo ilivyoangushwa na Tang Chinese wakisaidiana na Khitans pamoja na shilla. Hivyo Dae Jo young akairudisha na kuleta new kingdom "Balhae". Mkuu unaposikia Anguko la Goguryeo ni Anguko kweli walipigwa Vizuri hadi Palace ikawa majivu.
Zote zipo vizuri sana zina historia nzuri na hasa nimependa kuona vita vimetawala, fitna na usaliti. Kwa mimi ambae nipo biased na series ambazo superheroes (staring) wanaonewa sana nimependa Gwanggaetto. Kwenye Dae Jo Young WaGoguryeo wameonewa sana usaliti ulikuwa mwingi, mfalme mzembe, halafu...
Nimefanikiwa kuangalia zote Six Flying Dragon na Jeong Do Jeon naweza sema Sambong wa kwenye Six Flying amefanya Vizuri zaidi kuliko wa Jeong Do Jeon. Sambong kwenye Jeong hakuwa na ushawishi mkubwa au strategist Kama Sambong kwenye six flying.
Hivi kuna mtu alishawahi kufikiria hii. Laiti Kama CCCM ingekuwa na Fitina na Figisu Kama za wakorea ingekuwaje Tanzania hii. Maana washikaji kukupa kesi ya treason tena ushahidi wa kutosha Ni rahisi sana yaani.
Kwa wale ambao walikuwa bado wanaitafuta Dae Jo young. Mzigo kamili upo hapa
https://www1.dramacool.video/dae-jo-yeong-episode-1.html
https://www1.dramacool.video/drama-detail/dae-jo-yeong
Cc Nifah SPYMATE
Kusoma Stanford sio sababu ya kushinda kama ndio hivyo basi kila graduate wa Stanford anashinda tu.
Kusema hivyo ni ufinyu wa mawazo.
Ecobank kashindana na Kampuni zaidi ya 400 kachomoa
AppsAfrica kapalangana na Kampuni zaidi ya 300 kachomoa
Hizo tuzo zote sio Kama tuzo zenu za bongo za sinema...
Huwezi kuilinganisha kabisa NALA na hizi Apps nyingine. NALA ni kitu kingine kabisa yaani.
NALA ya kesho ni Pan-African Digital Bank
NALA ya kesho ni Stock kwenye NEW YORK STOCK EXCHANGE
Haya ni swala la muda tu kuwa tayari.
Nakubali kabisa idea ya NALA Ni kawaida sana tena Sana yaani ambayo...
"Nimeona statistics zinaonyesha half of Tanzanian population now have access to internet na trend is going upward,"
Rebeca 83 sijui hii umepata wapi maana tulionao takwimu zikisema ni asilimia 27% ndio wenye access ya internet.
Hiyo kuongea Hadi 50% [emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania tumejaaliwa na vijana wengi sana ambao ndio chachu ya mendeleo na mabadiliko chanya kwa Taifa letu. Bila kusahau tuna Vyuo Vikuu na Taasisi 64 zinazotoa elimu juu (Kuanzia Certificate, Degree na hadi Masters). Dar es salaam tu kuna Vyuo Vikuu na Taasisi 22 za elimu ya juu hivyo tuna...
Rwanda kwa Africa mashariki wanatukimbiza Sana hasa kwenye technology
Natamani tuwaige Rwanda
Mfano Mzuri recently tumemuona Kagame kwenye world economic forum Annual Meeting mkutano mkubwa sana duniani, pia alikuwa mmoja ya keynote speaker hapa bongo hata diwani nasikia hakuna aliyeenda ni...
Angalia Sasa unavyo hamisha maada hata kuelewa sijui huelewi [emoji1787][emoji1787]
Hebu tuambie huo unyuma wa Tanzania hapo upo wapi
Kwamba wapo nyuma kwenye gharama za internet
(Sijaelewa naomba unieleweshe)
Halafu unasema group la wajinga una maanisha!?
Hebu njoosha kauli Sasa
Halafu Soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.