Recent content by Arthur's

  1. A

    Natafuta kiwanja na shamba lakini sio kupitia madalali

    Nina kiwanja Bunju karibu na mradi wa nyumba za TBA. 18x25 maji na umeme hadi kwenye kiwanja. Kiko km 5 kutoka Bagamoyo road Whatsapp 0625617679
  2. A

    Kwa walioziponda Bombadier na kuziita pangaboi hii imekaaje ?

    Hii ndege itakuwa imekodishwa. Shape ya engine yake haifanani na ya Dreamliner Iliyo agizwa.
  3. A

    Rais Kikwete ziarani Australia

    OK! Mheshimiwa anaelekea sehemu mbali duniani. tumealikwa au tunabadilisha shilingi afike huko?
  4. A

    Kiwanja Kinahitajika kati ya Goba, Kigamboni na Mbezi

    Magwepande karibu na mradi wa ujenzi wa Nyumba za National Housing kilometa 4 kutoka Bagamoyo road size ni 18 kwa 40 maji na umeme upo bei ni 15 mil tel 0783487239
  5. A

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dr. naomba kufahamu in dawa gani inatibu psoriasis? nitashukuru kupata Jibu.
  6. A

    Malipo ya Dalali

    Naombeni msaada kwa hili,nani anastahili kumlipa dalali ni muuzaji au mnunuaji, je malipo ni makubaliano au kuna formula inayo tumika.
  7. A

    Kiwanja kinauzwa Mabwepande

    Km 4 kutoka bagamoyo road hakuna msitu. ni maeneo ya mradi wa National Housing
  8. A

    Kiwanja kinauzwa Mabwepande

    Ukifika Stand Bunju B ni kilometre 4 au dakika 10 kwa Gari Unapita mradi National Housing.
  9. A

    Kiwanja kinauzwa Mabwepande

    KIWANJA kinauzwa 40x20 kuna maji na umeme ni kuunganisha tu bei mil 18 maongezi yapo! contac 0783487239 Mimi ndiye mwenye Kiwanja.
  10. A

    Kiwanja kinauzwa Mabwepande

    KIWANJA kinauzwa Magwepande 40x20 maji na umeme upo in kuunganisha tu. bei 18mil Mimi in mwenye KIWANJA 0783487239
  11. A

    Bei ya Nanasi

    naomba kujua bei ya Nanasi shambani maeneo ya Bagampyo!
  12. A

    Toyota Spacio new model inauzwa

    Spacio 2003 iko kwenye hali nzuri sana. engine NZE cc 1490 bei 10,000,000 WhatsApp 0783487239
  13. A

    Toyota Spacio 2003 inauzwa

    Gari liko kwenye hali nzuri sana. Engine: TA-NZE Mileage 57,000km CD/mini CD, funguo mbili za remote na lether seat cover limesajiliwa NR CZS mwezi wa nane bei ni 10,5mil contact: 0783 487239
  14. A

    Spacio 2003 inauzwa

    Gari liko kwenye hali Nzuri sana CD/mini CD player 57,000km limesajiliwa august bei mil 10.0 contact 0783487239
Back
Top Bottom