Kuna mtu anaweza akanipa kiwanja cha 40 meter X 40 meter
location:
1.Goba
2.Kigamboni
3.Mbezi
Budget isizidi 14m
Bunju B kipo sqm 1792, hakijapimwa, kina hati ya serikali ya mtaa. Ila kipo sehemu nzuri, bei mil 18 tu. Karibu
Kuna mtu anaweza akanipa kiwanja cha 40 meter X 40 meter
location:
1.Goba
2.Kigamboni
3.Mbezi
Budget isizidi 14m
Weka namba ya simu,Bunju B km ngapi kutoka main road?
Kuna mtu anaweza akanipa kiwanja cha 40 meter X 40 meter
location:
1.Goba
2.Kigamboni
3.Mbezi
Budget isizidi 14m