Recent content by Arsis

  1. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Binadam anaweza kupata maelezo yoyote yanayomuhusu binaadam mwengine ambae si Mcha Mungu kupitia Qareen (companions) wa kishetani. Kwa wacha Mungu haiwezekani labda huyo "Mcha Mungu" awe mnafik wa show off tu. Binadam wengi hujificha nyuma ya pazia la misikiti na makanisa ili waonekane ni wema...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Adam, tofauti kinavyotafsiriwa na Waislam na Wkristo

    Kisa cha Adam – Utangulizi 2.1 Mada: Je, Malaika Walimuuliza Mwenyezi Mungu? Salaamoun Alaikoum Tunapoendelea na safari yetu ya Qur’anic Stories, tunatua katika swali la msingi: Je, Malaika walimuuliza Mwenyezi Mungu? Swali hili limeenea kwa tafsiri nyingi, hususani katika aya ya Q2:30. Lakini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Bakora mwenyewe anasema yeye ni mtu, ni mimi ninaesema yeye Jinni kwani mambo yake kama ulivyoyasoma juu huko. Kwa ufupi inawezekana.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Kwa ufupi, dunia yao / zao ni physically lakini zipo kwenye "dimensions" tofauti. Kuna mipaka au niseme pazia baina ya dunia zote hizo. Tofauti yake ni kama vile unapoota (subconscious) unaweza ukaingia kwenye dunia au ulimwengu mwingine (dimension tofauti bila effort.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Hii lm ina mitazamo tofauti. Kwanza kabisa iategemea uelewa na ufahamu (Arsh) ya mtu anaeliongelea au anaelisikiza. Huwa tunaamua hiki ni nini au nini kutokana na uelewa (Arsh) zetu. Ukubwa na upana wa "arsh" zetu hutokana na tulioyaona, yasikia, yasoma, yanusa, yaonja na kuyapitia kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Adam, tofauti kinavyotafsiriwa na Waislam na Wkristo

    ...Inaendelea Kisa cha Adam; Utangulizi 2 Salaamoun Alaikoum. Ni nini mbu? Licha ya Tafsil na Lisan, mbinu muhimu sana iliotumika ndani ya Qutr’an ni ‘dhikr”, dhikra kwa tafsiri za wengi ni ukumbusho, hapa tunalitumia neno ‘dhkr’ kumaanisha visa na hadithi za ndani ya Qur’an, kama...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Ibada unafanya? Hususan za salat? Kama hufanyi anza mara moja.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Usilolijua ni usiku wa kiza.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Mimi ni mwanafunzi daima.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    In sha Allah tutatafuta njia, tutakujulisha hapahapa. Tumuombe Allah atufanyie wepesi.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Adam, tofauti kinavyotafsiriwa na Waislam na Wkristo

    Hapana nipo, hata kule nipo.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Sikuelewi unasema nini.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Adam, tofauti kinavyotafsiriwa na Waislam na Wkristo

    Kisa cha Adam. Utangulizi 1 🧠 "Mbu" kama ufunguo wa Maarifa Aya ya Qur'an ya Q2:26 haimtaji tu mbu kama kiumbe, bali inaunda mfano wa kipekee: kitu kidogo kinachoangaliwa na walioamini kama ishara ya haki, na na walio kufuru kama fumbo lenye kero. Hii ni changamoto ya kiakili—huwachuja wale...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Uliza, unapenda nikuelezee nini kwa mtazamo wangu?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Ni mtazamo kwa uelewa wako lakini sio uhalisia kwa wengi.
Back
Top Bottom