Recent content by Arrabella

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nina ujauzito - nimekata tamaa

    pole sana kwa yaliyokukuta najua maumivu unayoyapata, nami yamenikuta kama yako ninachoshukuru kwa sasa naendelea vzr naendelea na mimba yangu, nimekubali matokea. inauma sana ila iko siku utayasahau yote na utalea mwanao mtoto ni baraka
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    asante sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    Asante sana, alikuwa single pia tulikuwa na mipango mingi tu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    Asante sana, Nimejaribu kuongea nae lakini bado anamsimamo huo huo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    asnte Nandera, kweli hata sielewi nini kinaendelea mbele yangu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    ni mimba ya kwanza
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    mwanzoni tulikuwa vzr hakukuwa na tatizo, gafla tu akaanza kuniambia kuwa anaona simpendi Swala la kuwa na mtoto tulishalizungumza kwa pamoja na tukajaribu lakini hatukufanikiwa Mfano,kuwa ananiona siko na furaha kwake tofauti nikiwa na watu wengine kama wafanyakazi wenzangu, tunafanya kazi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    naenda mwezi wa 3 sasa,nimejua nina mimba tayari akiwa hataki kuwa na mimi tena na tulikuwa tunapanga ya kuwa na mtoto
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    kweli najuta na naumia kwa hilo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    nimejaribu kuongea nae sana na nakubali kuwa ni kosa nimefanya
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    hapana,simfahamu ni majina tu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    ndivyo anavyoniambia
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    anaona kuwa simpendi,na anajua kuwa ni mjamzito, anasema hayuko tayari kuendelea na mimi
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa jamani, naombeni ushauri

    Nilikuwa kwenye mahusiano kwa miaka 2, kweli nampenda sana japo yeye siku zote alikuwa ananiambia kuwa ananiona simpendi . Sasa hayuko tayari tena na mimi na zaidi nina ujauzito hata sijui nifanyaje ? Nampenda sana na naumia mwenzenu.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kupima mirija ya uzazi na mbegu za kiume

    niliwahi kuandikiwa na kuwa nipime hiko kipimo cha kucheck mirija aghakhan Hosp, kina masharti yake ya siku za kupima, na ni dawa inainginzwa huku ndani kwa bibi, ukienda hosp watakuelekeza zaidi
Back
Top Bottom