Recent content by Aron Benny

  1. A

    Naomba ushauri nifungue case ya namna gani?

    Acha naye atakusumbua bure,inavyoonekana ana matatizo ya kiakili vilevile hana nidhamu,cha kufanya badili line ya simu kupunguza kero zake kwako.
  2. A

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    Pole ndugu yangu,lakini akili yako changanya na za kuambiwa utapata jibu,huyo mkeo kishaolewa kwingine sasa kakutafutia kitu cha kukuziba mdomo.
  3. A

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Hongera sana kamanda,endeleza mapambano. Tuko pamoja kudai haki zetu maana tumonewa sana.
Back
Top Bottom