Kamanda wateja wakubwa wa hizo shoo sio watu wenye akili zao timamu bali Rika balehe ukiongeza hiko kichocheo kizazi kitakuwa na uraibu kaka,Wengi wetu hatujui hustarabu....pombe tu Kuna maeneo ni inshu mtu akilewa mtaa mzima tunakosa Raha....ila kwa wenzetu hiyo kitu sina hakika nayooo
Nadhani tuna wahindu,budha na wengine wengi tu......swala la uteuzi nadhani linazingatia zaidi uwezo na uzoefu katika baadhi ya maeneo......kitu kizuri maraisi wengi wamepita nchi wakiwa na tofauti za Imani ......hili jambo sio zuri kulizungumzia hasa Imani za watu maana hata ukristo wenyewe...
UTANGULIZI.
Pamoja na jitihada za serekali katika kuimarisha sekta ya kilimo lakini bado Kuna changamoto nyingi ambazo ni vifaa duni,ukosefu wa mitaji,ukosefu wa elimu,kukosekana Kwa masoko ya uhakika, bidhaa kukosa ubora unaotakiwa sokoni na kukosa namna bora ya kuhifadhi mazao Yao n.k
Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.