Tarehe 25/10/2015 CHADEMA tutakanusha rasmi kwamba Lowassa siyo fisadi.
Siku hiyo hiyo pia tutadhihirisha kuwa Magufuli alihonga nyumba za serikali, alinunua kivuko feki,alilipa mishahara wakandarasi hewa,aliliingizia Taifa hasara kubwa ya kulipa Meli iliyoteketezwa kwa ajili yake.
safi sana simplemind
Hata viongozi wetu wa dini wamekuwa wakituhubiria juu ya kudumisha amani.hatuna ubishi juu ya hilo lkn pia ni vyema viongozi wetu wanapotuhusia juu ya kuilinda amani,wasiache pia kuwaasa viongozi wetu tuliowapa mamlaka kuhakikisha wanazingatia misingi ya utoaji haki.
Amani...
Yamoto band ni watoto,wakikua wataacha.
Kwanza boss wao (Said Fella/mkubwa fella) ni mnyonyaji.show wanazozifanya wale watoto na maendeleo yao ni tofauti.
Cha msingi ni kuwapigania watoke mikononi mwa kaburu Fella anayewakatikisha viuno stejini na kisha malipo yao wanaambulia pare za vuatu na...
kama Magufuli aliweza/ataweza kuwanadi akina Andrew Chenge,Tibaijuka,Ngereja na proff Muhongo.itakuwa vipi Godbless Lema ashindwe kumnadi mgombea wake wa urais???
hizo hoja zote zilishasemwa na wananchi wapenda mabadiliko tukazipuuza.
wale wote mnaosema Lowassa ni mgonjwa subirini kumwona akianguka majukwaani au subirieni taarifa za musiba.
Vinginevyo hivyo vihoja vyenu vitaendelea kuonekana vyepesi na vitapuuzwa hata na mtoto wa darasa la kwanza
Mbona hatujamwona hata mmoja mwenye gwanda la CHADEMA?
Au hizo card 600 zimehifadhiwa mfukoni kwa Kinana???
Naona unajaribu kuwatia moyo FISIEMU lkn habari iliyopo ni kwamba hao jamaa lazima wapishe maana hawawezi kwenda sambamba na kasi ya 120 ya maendeleo.
Mleta mada umeuliza swali ili upate majibu na mchango kutoka kwa wanajamvi.
Cha kistaajabisha imejibiwa halafu unaanza league.
km ulikuwa na majibu yako mfukoni kwa nini uliomba msaada wa kimawazo???
LOWASSA amehutubia mikutano mitatu leo ila wewe bahati mbaya umekariri mkutano wa Lwakatale tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.