Hongera CHADEMA, POLE kwa CUF,NCCR & NLD

Hongera CHADEMA, POLE kwa CUF,NCCR & NLD

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,622
Reaction score
3,696
Bila kumung'unya maneno, CHADEMA kimewafunika CUF, NCCR na NLD huku Tanganyika. Pamoja na huo umoja uitwao UKAWA (Chama cha SIASA kinadharia) lakini uhalisia ni kwamba Mchuano wa mwaka huu wa uchaguzi ni kati ya CCM, CHADEMA na ACT.
CUF,NCCR & NLD wamemezwa ndani ya CHADEMA na ndiyo maana wajanja wa CHADEMA wanatumianeno hili {CHADEMA/UKAWA}. Sijawahi sikia CUF/UKAWA, NCCR/UKAWA, NLD/UKAWA. Hata kauli mbiu ya Peoples power ya CHADEMA ndiyo inayotumika sana kwenye huo the so called UKAWA.

USHAURI: Nadhani baada ya Uchaguzi wa mwezi October, CUF, NCCR &NLD wakubali kuviunganisha hivyo vyama vyao ndani ya CHADEMA ili tuwe na chama kimoja kwa jina la CHADEMA au watafute jina lingine la chama hicho cha muungano.
 
Huu ni ukweli mtupu ndio maana Lipumba kasepa,Nccr wamekuja juu!!
 
Kijana wa IT (ITkibajaj). Hawa ndiyo wataalam wa IT ati kutupia 'shenzipost' huku jf ndiyo kazi yao.

Wataalam wa IT wa Januu
 
Na nyie unganisheni vyama vya CCM, ACT, TLP na UDP maana hao pia pamoja na kufanya kazi ya FISIEMU pia wamemezwa.
 
Back
Top Bottom