1. Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba Alijihudhuru
2. Katibu Mkuu Chadema Dr Slaa Ajihudhuru
3. Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa NCCR
Mageuzi nao Wamejitenga na UKAWA
4.Migogoro ya wagombea Ubunge na Wagombea
Udiwani inaendelea kuzizima kila Jimbo na kila
Kata
5. Afya ya Mgombea Urais UKAWA Edward
Lowassa inazidi Kudhorota siku hadi siku hata
kuhatarisha uwezekano wa kumaliza siku za
kampeni
6. Kwa Dalili Hizi Sijui kama Haya Mabadiliko
Wanayoyasema YATAWASAIDIA WaTz. Mungu
Tuepushie Mbali Kikombe Hiki Tusikinywe.
Chagua Dr John Magufuli kwa Mabadiliko yasio
na Mashaka.....!