SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
Mbunge anayesubiri kuapishwa kamanda Vincent Nyerere ameendelea kuitesa CCM jimbo la musoma mjini.Leo ameunguruma katika kata ya kitaji.Safari hii ushindi ni asubuhi kabla waumini wa misa ya kwanza hawajamaliza kutoa sadaka.