Recent content by ARMs14

  1. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habar wapambanaji. Kwa wale wote wanaotumia 1xbet kubetia. Kwa siku hizi usithubutu kutoa pesa kwa njia ya mitandao ya simu maana wana tatizo. Mm nilitoa pesa toka tarehe 24/4/2025 mpaka leo pesa sijapata nimejaribu kuwasiliana nao kwa email but wapi kila siku wanasema ndani ya saa 24 lakini...
  2. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Var imelifuta inter kashinda
  3. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

    Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka. Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu...
  4. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

    Habar wakuu?? Naomba kuuliza hv kuna watu wanataka kujifunza lugha ya alama?? Maana kuna mafunzo yataanza kutolewa. Tangazo ni hili. ************************* Habari za wakati huu. Mafunzo yetu ya Lugh ya Alama ya Tanzania yataanza kesho kutwa. Tarehe 22 Oktoba 2024. Saa 4:50 asubuhi...
  5. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya

    Mkuu labda nikupe temporary email.
  6. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 kitazalisha mabilionea wengi zaidi nchini kuliko waliowatangulia

    Mkuu labda nikupe temporary email.
  7. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Nimetoa Wosia kwa Mwanangu, usomeni hapa!

    Mkuu labda nikupe temporary email.
  8. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

    Mkuu labda nikupe temporary email.
  9. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Nimetoa Wosia kwa Mwanangu, usomeni hapa!

    Mkuu nipe njia ya kuwasiliana nawe maana PM yako ina ttzo.
  10. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

    Kama una mtu wko wa karibu nambie nimpe contact yng
  11. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

    Yah ni kweli mkuu. Maana nimeku PM but msg haijasomwa. Naomba unipe njia ya kuwasiliana nawe.
Back
Top Bottom