Recent content by Ariels

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini hivi lakini?

    Pole sana, endelea kumuomba Mungu ipo siku atajibu maombi yakona yote yatabaki kuwa historia.
  2. A

    JamiiForums Tanzania tatizo la kupoteza fahamu pasipo mgonjwa kupata dalili yoyote

    Ana matatizo ya masikio? anyways hebu mpelekeni hospital kubwa hiyo hali sio nzuri na kuna magonjwa mengi sana yanasababisha kupoteza fahamu, siwezi ku mention yote.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naogopa jibu nitakalopewa

    Vipi ameshakujibu au bado unasubiri?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kilimo Tanzania

    CDTI Tengeru ni chuo cha maendeleo ya jamii.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Dokta Kasema Mwili Una Damu Nyingi

    Lipo mkuu ,tena don't try to donate tatizo litaongezeka, kuna vidonge vinasaidia baada ya miezi mitatu hali inakuwa normal.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hospitali bora zilizoko Dar es salaam

    Kama hutajali taja tatizo lako ili usaidiwe cos kila hospital ina sifa zake katika tatizo Fulani...i mean kuna doctor anakuwa bora zaidi kwa tatizo Fulani utakuta yupo hospital Fulani etc.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ngozi yenye mabaka

    Nenda pharmacy ununue no scars itakusaidia.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nina kiu lakini nina dozi ya diclopar, nilambe kilaji?

    Ni kweli, tena hakuna doctor anaeweza kumpa mgonjwa diclopar.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Meno kupasuka

    Yap inawezekana kabisa, mwambie aende kwa dentist.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bega linauma, lakini nikikojoa linatulia

    Pole sana. Jaribu kwenda hospital hope utapona.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ajira tena, nafasi za koplo na konstebo wa Uhamiaji

    Ila najiuliza awe amepita Jkt atapewa kipaumbele, then kamaliza chuo umri miaka 25.....
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimepata IV.32 masomo ya sayansi

    Mmh! we Tumbu mchokozi, ngoja wenye chuo chao waje wakusikie
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wadada wa mkoa wa Mara ni wakali/wakorofi?

    Nilisoma shule moja iko tarime miaka minne sikuona ukorofi wao nikakutana nao chuoni wengi nilikuwa nao kwenye group discussion but sikuwai kuona ukorofi wao zaidi ya matatizo ya kawaida ya kibinadamu, sema hawa jirani zangu nilichowasoma wana confidence y a h a l I y a j u u . N I m...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je ukisoma CBG unaweza soma prog hizi?

    Sorry,nilipitiwa ni kweli nilitaka kuandika bachelor degree ya pharmacy. Nashukru kunishtua mkuu.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je ukisoma CBG unaweza soma prog hizi?

    Yap inawezekana, ila kwa ushauri wangu ikiwezekana chukua pharmacy nina ndugu yangu Advance alichukua combination hiyo alipomaliza akapiga bacherol ya pharmacy. I k o p o s n a .
Back
Top Bottom