Recent content by Areus

  1. Areus

    JamiiForums Tanzania Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

    Latra ni janga lingine kama Taifa
  2. Areus

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Lengo la post yako ni Nini mkuu Naona kama huna Nia njema na Taifa hili
  3. Areus

    JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Lissu iwe kinga na zindiko

    Mkuu kesi unaifuatulia inavyoenda?
  4. Areus

    JamiiForums Tanzania Simba Sc ni Gari limewaka au ni moto wa makaratasi🤔

    Yanga
  5. Areus

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Hawawezi kukata rufaa kwasababu hawana kinga ya kutoshitakiwa
  6. Areus

    JamiiForums Tanzania Swali: Makamu wa rais akijiuzulu rais anatakiwa afanye nini?

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaeleza jambo hili katika Ibara ya 50(4). Ikiwa kiti cha Makamu wa Rais kinakuwa wazi, ikiwemo kwa sababu Makamu wa Rais amejiuzulu, Rais anatakiwa kumteua mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais ndani ya muda usiozidi siku 14 tangu Makamu wa Rais aliyepo...
  7. Areus

    JamiiForums Tanzania Bei ya umeme nchini Ethiopia ni kama miujiza

  8. Areus

    JamiiForums Tanzania Nilivyosoma Utetezi wa Tundu Lissu Bila kuathiri mwenendo wa Kesi Tundu Lissu anaenda kunyoa kwenye kesi yake

    Hujui Sheria inapoungana na siasa
  9. Areus

    JamiiForums Tanzania John Heche hasafishiki hata kwa Sabuni. Tuhuma zinazomkabili ni juu ya kuwekewa Fedha kwenye akaunti yake binafsi. Hizo zinapaswa kujibiwa na yeye

    Very cheap politics, basi afikishwe mahakamani kwa kosa la utakatishaji pesa sio kuleta Kelele humu Tupo bize
  10. Areus

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Aangalie sana ,lisije likawa tamko litakalomtoa kafara kisiasa. Asome alama za nyakati Tupo katika nyakati ambazo tu ataja Dunia ione tuna demorasia ya kweli yenye kujali misingi ya Haki na utawala Bora Pia Tamko lake ni kama Kuna Taaharuki Nchini,jambo linaloweza kusababisha wawekezaji...
  11. Areus

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike ili kama Taifa tutoke kwenye mkwamo wa kidiplomasia duniani?

    Mkuu unaelewa maana ya Veto power ? Je ni mataifa yote duniani Yana kiti pale UN?
  12. Areus

    JamiiForums Tanzania Suala la watu kuibiwa nyeti ni petty issues kuwatoa Watanganyika katika mjadala wa kupanda bei ya mafuta na mambo mengine ya muhimu

    kwahyo m kuu kwenye suala la mafuta we inashauri Nini sasa kifanyike. Manake usiwe nawe ni wale wale ambao wanazijua changamoto tu lakini hawawezi kutoa ushauri wowote kutatua changamoto hiyo
  13. Areus

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Baba leo ni Sadaka ya Wale jama
Back
Top Bottom