Recent content by arejf

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hii Kali
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jiulize maswali haya na jijibu

    Wewe ni nani? Upo hapa duniani kwa ajili gani? Nani aliyekuumba? Nini hatima ya maisha yako? Ukiondoka au ukifa unaelekea wapi? Je unakujua jehanamu? Jibu katika uelewako,mshirikishe na mwenzio.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane vipindi na tamthilia maarufu za kwenye TV za kipindi hicho. Mnakumbuka wapi?

    Root and Reggae, smooth vibe,kwanja time,Africa bambataa,hawavumi lakini wamo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Yalionikuta leo ni zaidi ya Yona alivyo mezwa na samaki

    Wewe ni mzinzi sasa ibada unaendaka kufanya nini maana Mungu uwa hasikii maombi ya watenda dhambi Isaya 1:16-19
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kanisa la TAG mbona kama limepoa?

    Sijasema hivyo nimetaja makanisa ya wokovu hapo chini pls nenda huko uokoke.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kanisa la TAG mbona kama limepoa?

    Mtoa mada aneongelea juu ya kwamba hawana elimu na mipango ya kufanya kanisa lisonge ndio maana nikampa fact hiyo.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kanisa la TAG mbona kama limepoa?

    Mimi ni MTAG lakini hapa umeongea pumba rafiki.Watu hawatakiwi wajekanisani kwa ajili ya mtu ili kwa ajili ya Yesu na uzima wao.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo; Nataka kufungua taasisi kusaidia watu wenye mazingira magumu

    Nenda wizara ya maendeleo ya jamii au halmashauri uliopo watakupa details za kufata.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni mawazo; Nataka kufungua taasisi kusaidia watu wenye mazingira magumu

    Jambo lolote alianzi na pesa linaanza na mipango kwanza.Hachana.na huyu anaekwambia juu ya pesa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutembelea makaburi upo?

    Wewe hacha uongo hayo ndio.mafundiaho ya RC sasa mtu ameshakufa wewe umkumbuke kwa maombi ili iweje hakina mawasilianao.kati ya mtu aliyekufa na aliye hai .Mtu ukifa no more communication Bibilia imekataza ibada za wafu ndugu zangu.Soma Waebrania9:27 baada ya kifo ni hukumu ukimuombea aliyekufa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutembelea makaburi upo?

    Imani uja kwa kusikia neno la Mungu na si kwa imani yako kila imani inachanzo chake.Wewe imani yako is dont care huyu mwenzako tangu awali alikuwa anaibada za wafu au mizimu so alijiconnect sasa bila kuwa na mawasiliano.nayo uleta shida ndani ya maisha yake. Kwa.mfano wewe shetani...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutembelea makaburi upo?

    Mpe Yesu maisha no misukosuko anymore.Hachana na habari za ibada za wafu huo ni.ushetani maana unataka kujilisha upepo kwamba ukitembelea makaburi ndio misukosuko itaisha hiyo ni ibada ya wafu. Ukiokoka tu kila kitu kitakaa sawa kwenye tatizo Yesu atakutetea na zaidi ya yote utaupata uzima wa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

    Google information juu ya lips kuvimba.au kuwa red utapata full information. Usipopata masaada wowote yupo Yesu mpelekee tatizo lako ni daktari bingwa wa mabingwa wote.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dhambi saba mbaya zaidi

    Dhambi ni dhambi iwe ndogo au kubwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye watu wenye IQ ndogo zaidi duniani

    Powerful reply with great IQ
Back
Top Bottom