Recent content by Arctic Tern

  1. Arctic Tern

    Niko njia panda, ushauri unahitajika

    Watu wengi katika jamii tunapenda Sana kulaumu wengine Kama vile sisi pia hatufanyi makosa. Pole Sana kwa Changamoto hiyo
  2. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mim ni mwalimu wa shule ya msingi Nipo Masasi Mtwara. Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mikoa yote ya kanda ya ziwa. mwasiliano 0785294747 au 0677191723
  3. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Masasi Mtwara Niende mikoa Mara, Geita, Mwanza wilaya yeyote. Idara Msingi Cont: 0785294747, 0677191723
  4. Arctic Tern

    Wanawake acheni hii tabia, Inakera

    Aisee nmecheka sana eti kupeleka ripoti kwa CAG
  5. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Masasi Mtwara Aje Morogoro, moshi, au Arusha contact: 0786961780
  6. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetaka kuja masasi Mtwara mi niende mikoa ya Mbeya Arusha au Kilimanjaro idara ya Elimu msingi tuwasiliane Contact 0657413989
  7. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo masasi mtwara nije mikoa ya mara geita au mwanza idara ya msingi 0787207598
  8. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Masasi vivijini jimbo la lulindi niko jimboni hapa huduma muhimu maji ,umeme, no uhakika
  9. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo masasi mtwara nije mikoa ya kanda ya ziwa idara ya msingi 0787207598
  10. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl yeyote aje masasi mtwara mi nije mikoa ya mwazna ,geita au mara wilaya yeyote idara ya msingi 0759263313 au 0787207598
  11. Arctic Tern

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naitwa mwl Shukurani W.Samwel mwalimu wa shule ya msinginiko mkoa wa mtwara wilaya ya masasi. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Mara,Geita au Mwanza kwa yeyote aliyeko tayari tuwasiliane
  12. Arctic Tern

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Hapo Mkuu umetisha mbavu sina
  13. Arctic Tern

    Kuanzisha Shule ya Mahusiano

    Tampa nani coz wakati ndoa yako tu inakushinda
Back
Top Bottom