Recent content by ARCHITACT MABETEREE

  1. A

    Wagombea wa Urais 2015...

    hizi ni propaganda za ccm kutaka kututoa kwenye swala la msingi kuhusu katiba mpya ya wananchi ili kupunguza idadi ya wananchi kuwa na uelewa wakutosha kuhusu katiba mpya ya wananchi
  2. A

    Wagombea wa Urais 2015...

    this is true
  3. A

    Mh. Pinda Awasihi UKAWA!!

    mnafiki huyo anataka wananchi waone kuwa ccm wana nia nzuri kumbe wanalao jambo wanataka litimie kinachotakiwa nikuheshimu mawazo ya wananchi nakuyajadili sio huo upuuzi wao wa eti maoni ya wengi yasiyo yautafiti na sio ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi
  4. A

    Sugu amuumbua Waziri Magufuli

    jamani jifunzeni kujibu hoja huo ndio utamaduni mzuri utakaotuongezea uwezo wakufikiri ili tuweze kuwa na maendeleo acheni siasa chafu za mipasho
  5. A

    Kilimo cha milonge

    jamani naweza pata wapi mbegu zake kwa hapa DSM? wakuu msaada wenu
Back
Top Bottom