Recent content by arafaally

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nitumie vipi Carotone nipate matokeo mazuri?

    Na mm naitaka nataipata wapi?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Cherehani

    Jamn naombeni kujuzwa maduka yanayouza cherehani kariakoo
  3. A

    JamiiForums Tanzania MSAADA - Ukumbi wa BUDGET Mikocheni

    Ni budget au brajec? Kuna unaoitwa brajec upo mikocheni ukipita TCU.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Inawezekana na sheria inayosimami haki ya mwajiriwa kujichagulia mfuko ipo , ongea na mwajiri wako yy ndo anapeleka data za member wote ktk mfuko husika, hvyo unaongea nae ili apeleke barua kuwa unataka hama mfuko! Then taratibu nyngne zinafwata.
Back
Top Bottom