Recent content by aquamarine

  1. aquamarine

    Hivi wanaume kwenye hii mikoba huwa wanaweka nini?

    Ukiwa inje ndo uta jua umuhim wake , like kubeba passport, power bank kama mnavo jua smartphone nying hazikai na charge, wengine wana Weka camera ndogo, earphones, Busines card wallet, some receipts za madukan kama ume weka Oder kwa wafanya biashara nk.
  2. aquamarine

    Niulize chochote kuhusu Uchimbaji Mdogo wa Dhahabu na mambo mengine yanayohusiana na hayo

    Big up , we need such people sio maneno yasiyo tupeleka poppte, kwenye madini wa Tanzania bado tuna hitaj watu kama nyinyi kutoa elim, Tz tuna hazina ya madini meng Ila uelewa wetu mdogo sana watu tuna jua dhahabu tu ila naa amini tukiendelea peana elimu madini yatatusaidia kuinua vipato vyetu...
  3. aquamarine

    Wadau wa forex trading nisaidieni hapa

    Margin level ilikuwa chini ya 100% broker anacho fanya niku close some positions kuongeza margin, kuna some broker ata funga position zote ,
  4. aquamarine

    Serikali: Kuanzia Januari 01, 2018 kodi ya nyumba za kuishi na ofisi, bei ya ardhi, gharama za elimu/afya n.k ziwe TZS

    Na ushuru wa forodha pia uwe tsh: sio naingingiza gar yangu na tajiwa dola
  5. aquamarine

    Kuporomoka kwa thamani ya Shilingi: Serikali ya Rais Magufuli inatupeleka wapi?

    Hizo news zilikuwa saa 3;30 mchana hivo dola ita zidi panda
  6. aquamarine

    Kuporomoka kwa thamani ya Shilingi: Serikali ya Rais Magufuli inatupeleka wapi?

    Wama marekani leo walikuwa wana toa tathimni ya 3q ya uchumi wao so dola ime panda thamani na ita endelea kupanda
  7. aquamarine

    Kuporomoka kwa thamani ya Shilingi: Serikali ya Rais Magufuli inatupeleka wapi?

    Ila shiling ime poromoka kutokana na dola kupada thamani Leo , , nime ona uz ime budi niangalie 2548 sio padogo toka 2245 last wk
  8. aquamarine

    iPhone 6 / 16 Gb for sale

    Na uza iPhone 6 used bei 4500,000 haipungui bado Ina hali nzur natumia mwenyewee haina michubuko Serious buyer ni pm :
  9. aquamarine

    Ukweli kuhusu kifo cha Onoratus Mwinuka

    [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  10. aquamarine

    Haya ni madini gani?yanauzwaje?soko la nje limekaaje?

    Kwa picha nayaona Kama cristalface , Nahii Ina toka mpwapwa Kama nilivo sema
  11. aquamarine

    Haya ni madini gani?yanauzwaje?soko la nje limekaaje?

    Nita kusaidia nafanya biashara ya madini na niko Inje
Back
Top Bottom