Recent content by Aqmar

  1. A

    JamiiForums Tanzania Maji ya viroba yapigwa marufuku mara baada ya lowasa kuyanywa

    Kanunue vifuko umjazie maji anywe huyo mamvi wako. Mtu unashindwa kujiongeza kabisa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuponda ponda simu za wanafunzi sio sawa

    Salamander;[SIZE=3]Hawa walimu na wachangiaji wengi wa thread hii wana akili za kizamani sana. Mi sikubaliani na hoja kwamba wanafunzi hawawezi kufanya vizuri kwasababu ya simu. Yeye mwalimu mwenyewe kasoma enzi hizo hakuna TV wala simu mbona kafeli masomo? NB: Kwa Tanzania, waliofeli kuendelea...
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda kunusa kufuri la mke wangu

    Sasa sisi tufanyaje si mapenzi yako na mkeo....we nusa tu ikibidi tembea nayo kama Leso
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania: The Legacy of President Jakaya Kikwete (2005-2015)

    Acha ubaguzi na uchochez wa kidini,nyambafu.. bigresult
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwa Dr. Magufuli ni wa kichama?

    Magufuli analindwa na usalama wa taifa kwasababu alitishiwa kuuawa,kwahiyo serikali ikampa ulinzi maalum.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli alizikwa kwa Ndege Ya Rais wa Tanzania

    Hapana hakufikia ulinzi wa Waziri Mkuu,Magufuli anatembea na gari mbili,mija take na moja ya usalama,sidhani kama waziri Mkuu anatembea na ulinzi huo,tusisikilize maneno ya watu,ukiwa na Muda njoo Kinondoni Ada Estate,Sida flats,utapata taarifa za kweli...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli alizikwa kwa Ndege Ya Rais wa Tanzania

    Huyu Magufuli alipewa ulinzi kwasababu kuna kipindi alitishiwa kuuliwa na kuna watu walishataka kumvamia Kwa Bahati nzuri maeneo anayoishi kuna wanajeshi wanaishi hapo kwahiyo akapata usiadizi,kwahiyo tangu Sikh hiyo akapewa ulinzi.Mimi naishi nyumba ya tatu toka kwake.....
Back
Top Bottom