Recent content by Apro

  1. Apro

    JamiiForums Tanzania Manabii wanapingwa sana ila alichokifanya nabii Clear Malisa ni kitendo cha kishujaa.

    Nimecheka Kwa sauti kuuubwa.
  2. Apro

    JamiiForums Tanzania Nikimaliza chuo nifanye nni?

    Ndo hivo yaani
  3. Apro

    JamiiForums Tanzania Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    Pengine Una status Fulani hivi.. Kwa Mf. Muonekano wa hela na hunazo 😔
  4. Apro

    JamiiForums Tanzania Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    Niliwahi mpa shikamoo mdada mahali Fulani, alinipiga jicho hilo. Lo! ungekuwa mshale saivi ningekuwa marehemu. Watu wanaogopa age kubwa eeh.
  5. Apro

    JamiiForums Tanzania Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    No. Hujachelewa bro
  6. Apro

    JamiiForums Tanzania Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    Akili kubwa mdogo wangu. Pambania kombe
  7. Apro

    JamiiForums Tanzania Video inafikirisha sana

    Dah, Una maneno ya hekima Sana mkuu.
  8. Apro

    JamiiForums Tanzania Nikimaliza chuo nifanye nni?

    Nami mkuu. Dah sijui itakuwaje. July Ile inakuja😂
  9. Apro

    JamiiForums Tanzania Katavi University of Agriculture iliishia wapi?

    Mbona hata Mimi nilichaguliwa bees resources management upande wa degree 2021 pale mkuu! Ila nilienda Chuo kingine Tu. Vile Tu kuna watu Wana dharau, upo sahihi mkuu nashangaa kauli yake mbovu, calm down.
  10. Apro

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

    Hongera Kwa malezi mkuu. Thamani ya bidii ya mtu kwenye utafutaji lazima iheshimiwe.
  11. Apro

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

    Hahahaha...mgeni
  12. Apro

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako amewahi kukuaibisha mbele za watu?

    Mwenyewe mkuu sipendi mtu abakize chakula na kitupwe, unasema mapema kama ni kingi....... Sitaki uharibifu watu wanalala njaa ujue. Una binti smart Kwa kweli
  13. Apro

    JamiiForums Tanzania Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

    Kusamehe, nasamehe hata nisipoombwa msamaha baada ya hapo na-focus na mambo ya maana
  14. Apro

    JamiiForums Tanzania Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Hawajui Kama huyo Mzee ana pesa eeh! Watajua tu
  15. Apro

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Asante chief, tutapambana Kwa kweli
Back
Top Bottom