Mkuu, mfumo wa uandikaji wa jina unabadilika kulingana na lugha au nchi husika. Mfano jina Mariam linaandikwa sana na mataifa ya Israel na baadhi ya nchii zinazozungumza lugha ya Spanish, lakini mataifa yanayoongea kiarabu wanapotumia Latin words wanaandika Maryam.
Kwa sisi baadhi ya nchi za...
Sio kweli mkuu, kumbuka wakati ugonjwa wa UKIMWI unaingia Tanzania miaka ya 1980s watu wengi walikuwa wanakufa kwa kukosa elimu, leo hii vijana wengi mashoga historia zao zinaanzia ngazi ya familia wangali wadogo kabisa sababu kuu ni kutofahamu tatizo. Lakini tunavyopeana elimu itachangia...
Wakuu habarini, moja kwa moja niende kwenye mada hisika. Duniani kumekuwa ni mahali penye changamoto za kila aina, binadamu akiwa kama kiumbe icon wa ulimwengu amekuwa mhanga mkuu wa changamoto zilizopo.
Kama kichwa cha habari kilivyo, karibia kila sehemu/nchi wakati huu ushoga umekuwa si kitu...
Wakuu habarini, moja kwa moja niende kwenye mada hisika. Duniani kumekuwa ni mahali penye changamoto za kila aina, binadamu akiwa kama kiumbe icon wa ulimwengu amekuwa mhanga mkuu wa changamoto zilizopo.
Kama kichwa cha habari kilivyo, karibia kila sehemu/nchi wakati huu ushoga umekuwa si kitu...
Sheikh/Ostadh, unaonekana uko vizuri sana kwenye kukariri. Waliokuletea hizi imani wako pembeni wanakuangalia namna unavyojitutumua kuilinda na kuitetea hali ya kuwa wao wameshaachana na hizi mambo. Amka ndugu hata mimi nilikuwa kama wewe, lakini baadae nikaamua kuisikiliza sauti iliyopo ndani...
Kwanini Mungu mwenye huruma, upendo na hekima asiyazuie hayo yote yatakayosababishwa na huyo muovu haliyakuwa anajua kuwa yatatokea.
Yeye mwenyewe (Mungu) kupitia maandiko ambayo yanasemekana kuwa ni yakwake ameeleza kuwa mwanadamu ni dhaifu, sasa iweje aruhusu kumpa mitihanai migumu namna hiyo...
Mkuu, kwa mujibu wa picha yako inaonyesha waz kabjsa waisilamu wanaswali masjid al aqsa na sio eneo la waz.
Iko hivi, kuna masjid al aqsa pia kuna dome of the rock, hivi ni vitu wiwili tofauti vilivyopo maeneo yanayokaribiana.
Tazama picha hiyo.
Mtoa post unaonekana kabisa wewe ni mdini lakini hata dini yenyewe huna ujuzi nayo, katika hao wote uliowaorodhesha hapo juu hakuna aliyehukumiwa na huyo mungu kwasababu ya kumdhihaki.
Labda nikukumbeshe kitu kimoja, kifo sio adhabu kwa maana huyo mungu mwenyewe kupitia maandiko yake kasema...
Ivi nikisema mungu hajui anachokitaka nitaitwa kafiri, mpinga kristo na majina mengine mabaya sio?
Yaani mungu hajui kama watu wake wanataka mvua mpaka abembelezwe kwa maombi?.
Sasa ile huruma ambayo wafuasi wa dini wanayoipromote kuhusu huyu mungu iko wapi, au muda mwingine huwa anapitiwa na...
Ili uweze kuzielewa hizi imani za majahazi inakubidi ujitoe ufahamu ulionao alafu usihoji chochote alafu amini unachoambiwa, na mtu yeyote mwenye hizo sifa tajwa hapo anajulikana kama mpumbavu.
Hiyo mizimu ndio dini zenyewe mkuu, kumbuka hata hao wazungu/waarabu wanaabudu mizimu pia, kwa uelewa wangu mizimu ni roho za watu ambao walishawahi kuishi kwenye ulimwengu huu and then wakafa, so that wakristo wanavyomuomba Yesu hakuna utofauti wa muafrika anavyowaomba mababu zake waliokufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.