Wala usiwe na wasiwasi.
Ni kwwli wakatoliki na watanzania wanajua kuwa Gwajima alimtukana matusi mazito sana Askof Pengo.
Pia hiv karibuni aliitwa polisi kuhojiwa kwa kurusha clip za kuchochea ukabila na kuwashauri wasukuma kuunda group la kusaidiana wasukuma kwa wasukuma.
Hii nayo ni mbaya sana...
Misheni mikocheni Hospital wanafanya hii huduma Dada. Nina uhakika na ninachokuambia kwa sababau niliwakuta sabasaba na nikaona wameweka hilo tangazo na wakanipa maelezo mazuri sana jinsi wanavyofanya.
Tena uzuri zaidi wanachukua hadi bima ya afya ya N.H.F.
Zaid sana ukimtanguliza Mungu.pole...
Amin anin nawambien.
Paul makonda ameandaliwa kugombea jimbo la kigamboni na bada ya kuwa mbunge atakuwa waziri wa mambo ya ndani au waziri mkuu.
Mi nawambia haya ili badae yakitokea mjue nilisema.
Nakukatalia kabisa kwa sababu:
Kuna watu wanaangaika kutafuta pesa kwa bidii zote tangu akiwa na miaka ishirini mpaka anafika miaka stini hajafanikiwa.
Pia kuna watu wanaangaika kutafuta pesa tangu wakiwa na miaka ishirin mpaka miaka hamsini anafanikiwa.
Pia kuna watu wanafanikiwa miaka ya...
Serikali yetu ama kwa kujua au kwa kutokujua au kwa kushauriwa vibaya, iliwafukuza wauguzi wazoef na waliobobea na wenye ujuzi na wito na kazi ya uuguzi kwa vigezo vya kutokuwa na vyeti. Sasa wamebaki na wenye vyeti ambao wanawakimbia wagonjwa. Tusiwe tunafanya maamuzi kwa kukurupuka bila...
Asante sana ndugu kwa maneno yako yenye nguvu mno na hekima ya hali ya juu. Mungu akubariki sana na azidi kukuongezea hekima. Namwomba Mungu kama kuna viongozi wa dini wako huku na ambao wako karibu na Rais wetu watamshauri jinsi ya kufanya ili katika kuomba kwetu tusiende ki himotion zaid bali...
Tumwombee Mungu amsamehe kwa maneno yake ya kufananisha chadema na corona. Nasi watanzania tumsamehe katika kipundi hiki cha kutubu kwa ajili ya Taifa na kuliombea Taifa dhidi ya corona. Ametamka manenono mabaya mno! mno! mno! yanasikitisha yanahuzunisha na yanalidhalilisha Taifa.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.