Vita dhidi ya covid-19: Polepole awaambia viongozi wa Serikali huu si wakai wa kutisha watu au kuchukua hatua za kufedhehesha

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Hii ndio tweet yake:

Tunaendelea na Maombi Maalum ya Siku 3, Tusimame pa1 na Tutashinda. Rai yangu baadhi ya Viongozi wa Serikali zingatieni kuuelimisha umma zaidi na kutiana moyo kwamba tutashinda. HUU SIO WAKATI WA KUTISHA WATU AU KUCHUKUA HATUA ZENYE KUFEDHEHESHA UTU, VITENDO HIVYO HAVIKUBALIKI!!
 
Hii ndio tweet yake:

Tunaendelea na Maombi Maalum ya Siku 3, Tusimame pa1 na Tutashinda. Rai yangu baadhi ya Viongozi wa Serikali zingatieni kuuelimisha umma zaidi na kutiana moyo kwamba tutashinda. HUU SIO WAKATI WA KUTISHA WATU AU KUCHUKUA HATUA ZENYE KUFEDHEHESHA UTU, VITENDO HIVYO HAVIKUBALIKI!!!
Polepole ana mamlaka gani ya kusema hivyo? sitamsikilza
 
Aseme ni Corona ipi tunayopaswa kuomba itokomee.Maana alishasema Vyama vya Upinzani Tanzania ni Corona,sasa hapa atanabaishe,Corona ipi ambayo Rais kataka tuombe tuiondoshe?Awe specific ili tujue tunaomba kwa Corona ipi...Maana sio wote tunaotaka Corona mojawapo kati ya hizo mbili kwa mujibu wa maneno aliyowahi kusema iondoke
 
Anajikosha tu huyo!!!
 
Ukitaka Chadema wakuzabue waambie polepole huyo anakuja

Kwamaana amewapoteza kabiss Chadema wamejikatia tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ipo ndani ya Ubongo wako na umejijengea hivyo Akili mwako kinyume kabisa na Hali halisi ,sasa Polepole ni nani mpaka iwe hivyo !?

Mtu anae tumia Madaraka yake vibaya nae ni wa kuogopwa !?
 
Tumwombee Mungu amsamehe kwa maneno yake ya kufananisha chadema na corona. Nasi watanzania tumsamehe katika kipundi hiki cha kutubu kwa ajili ya Taifa na kuliombea Taifa dhidi ya corona. Ametamka manenono mabaya mno! mno! mno! yanasikitisha yanahuzunisha na yanalidhalilisha Taifa.
Aseme ni Corona ipi tunayopaswa kuomba itokomee.Maana alishasema Vyama vya Upinzani Tanzania ni Corona,sasa hapa atanabaishe,Corona ipi ambayo Rais kataka tuombe tuiondoshe?Awe specific ili tujue tunaomba kwa Corona ipi...Maana sio wote tunaotaka Corona mojawapo kati ya hizo mbili kwa mujibu wa maneno aliyowahi kusema iondoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kashajua hii Corona inapiga pande zote bila kubagua Kama wasiojulikana.......na muda wowote yeyote anaweza kuning'nizwa nayo....so may be internal pain.
 
Back
Top Bottom