Recent content by apollo jr

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa wanajiamini Sana kuliko wasio na makalio makubwa

    Pia wengi wao wanawake wenye makario makubwa ni zero brain...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

    Bado una akili zaki toto.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

    Ni kwelii huna uzalendo wowote, unadhani kuwa maraisi wa nchi.. nyingine mnazo zishobokea kwamba zina diplomasia nzurii wapo perfect. Baba ni baba hta akikuchapa still be your father
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

    The way unavo furahia kifo, utadhani utaishi milele. Jua kuongoza Taifa lenye watu million 55+ cyo rahisi kama unavo dhani
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

    mkuu.. hoja za mheshimiwa kigwangala ni zamsingi sana, kwa sababu simba si club ya Mtu mmoja sasa kuhoji uwezo wakuongoza wa mwanadada hajakosea na mwanadada ni mfanyakazi wa mudi ktk biashara zake nyingine huoni kutakuwa na conflict of interest akiwa C.E.O
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

    always Investors are much clever than u think, MO sikwamba hanauwezo wakutoa hiyo pesa noup... anao sema baada yakupigwa chini kupewa 51% ya share naona akijijengea kingdom yake ili mahamuzi yake yawe na nguvu kwa masrahi yake binafsi
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    asante mkuu... mimi ni mwanaume kwokwote kambi, ingekuwa vizuri nikajua hizo kazi zinakuwa za aina gani na kipato chake na utaratibu wakuingia? ili hata nikisema nakuja najua naanzia wapi asante
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    ni idea nzuri sana brother... asante
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    kwa mimi hapa dar nilie... proove kwa kiasi ni mshkaji anaitwa benwade,wengine nawaonea kwenye social media tu wapo wanaofanikiwa japo ni wachache sana
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    i appriciate ur suggestion brother.... tafanyia kazi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    Nikweli unayosema, kama ulishawahi fanya forex naamini utaelewa ni kwa kiasi gani muda unapotea kukaa ndani na computer siku nzima na imekuwa hivyo kwa miezi yote nane, na bado pesa tatizo....
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    kujua all things dealer do its very difficult sema kwa uchache we know their movements.. napo some time kwa small capital inakuwa ngumu kuwa consistency ndani ya muda mrefu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    Asante sana mkuu kwa maoni mazuri.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    sijaacha ila kwa sasa sitafanya mpaka pale nitakapokuwa nakipacho cha uhakika
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    also they have mandate... to see where retairs place their order so its much easier to move against
Back
Top Bottom