Mkuu Natafuta Ajira ajira nimesoma baadhi ya nyuzi zako.Asilimia kubwa zinazungumzwa code za mahusiano na namna ya kudeal na wanawake.Japo wanasema hayana formula ila nondo zako zinatosha kwa mtu mwenye akili timamu kujipanga kabla ya kuingia kwenye mahusiano na vitu vya kutegemea.
Itoshe kusema...
1.Iringa- Mjini & Mufindi-Mpangatazara
2.Njombe mjini+vijijini kidogo
3.Mbeya-Tukuyu
4.Morogoro-Mahenge
5.Arusha
Mimi ni mzaliwa wa Arusha tena milimani.
Kuna sehemu pia Arusha kuna winter ila bado list naomba ifuatwe kama mstaafu.
Nina namba za fundi ila hajasoma lakini anajua kuweka vitu vyako vizuri. Anapiga plasta, anasuka lenta, bati anaweka fresh kabisa yani hana kipengele kabisa na vifaa vya kazi anakuja navyo yeye mwenyewe na hata sementi haibi.Njoo DM nikupe namba yake.
Upo sahihi mkuu. Tafsiri ya mafanikio inategemea na muktadha wa mtu. Mwingine hajawahi kula milo miwili kwa siku ,siku akianza kula mitatu kwake ni mafanikio. Kuna mtu ana magari matano ,akinunua moja bado kwake anaona ni mafanikio. Tujifunze kujipimia kiwango cha mafanikio tukirejelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.