Hivi karibuni shirika la viwango lilitangaza usaili kwa nafasi za kazi mbalimbali watu tuliitwa wengi kuliko ya kawaida ,mtihani wa maandishi uliisha, lakini uchaguzi(short list) haukufuata ufaulu,bali kwa upendeleo wa kindugu,rushwa na rushwa ya ngono. Hata walioitwa kwa usaili wa pili(oral)...