Recent content by API Gravity

  1. API Gravity

    Tofauti ya Pangaboi ya ATCL na Precision ni nini? Au ni tabia ya kupinga tu mambo ya Serikali

    Mara nyingi safari za usiku kuja Dar Ethiopian Airline wanaleta Q400 kama yakwetu.
  2. API Gravity

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Mkuu ahsante sana, unaweza kunisaidia kwa makadirio gharama za zote toka kuandaa heka moja ya mhogo hadi unapokuwa tayari kwa kuuzwa na pia yake ya soko ikoje. Ahsante sana
  3. API Gravity

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Wewe ulimsikiliza? Alisema ana pesa kuliko serikali hakusema yeye ni tajiri.
  4. API Gravity

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Mkuu kuna watu hawajielewi wanamshangilia Kakobe, yeye kasema ana pesa kuliko serikali leo kageuza maneno kama kawaida wafuata upepo wako naye.
  5. API Gravity

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Mawaziri aliwaambia waende wakakope kwake utajiri wa namna gani?
  6. API Gravity

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Hah hah, mkuu hawa wachungaji makanjanja hatari sana, lakini ameshapata watu wa kumshangilia kwa kila alisemalo.
  7. API Gravity

    Kakobe: Ninaposema mimi ni Tajiri namaanisha tajiri wa Kiroho

    Kaogopa huyo, kama alimaanisha utajiri wa mbinguni, hivi ni kweli unaweza kuufananisha na uutajiri wa serikali? Utajiri wa serikali ni pesa na yeye alimaanisha pesa. Aaache kutufanya wote wajinga.
  8. API Gravity

    TAFAKARI: Kwanini Rais anaogopa kutubu?

    Hivi nyie watu mnajuaje kama Magufuli huwa hatubu? Au mnataka akutubu kwa Kakobe mbele ya waumini wake? Fanyeni kazi acheni upumbavu.
  9. API Gravity

    CHADEMA mjitathimini acheni kupokea wanachama wanaokimbia CCM

    Makamanda wanasema hakuna kama Mbowe, eti Wema katumwa tu afanye kazi ya Chadema akiwa CCM.
  10. API Gravity

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Chadema acheni mbwembwe na wahamiaji toka Lumumba.
  11. API Gravity

    Nini Mchango wa Msanii Kama Wema Wakati wa Harakati kama za Leo?

    Kamanda Wema Sepetu hana mchango, nyie Makamanda vipi, kipiho cha udiwani tu kimeanza kuwachanganya?
  12. API Gravity

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Acha tu akina Katambi warudi CCM, maana ni ujinga unapigwa mabomu na kulala selo sababu ya Chadema unaomba nafasi ya kugombea ubunge unanyimwa halafu anapewa jamaa aliyotoka CCM jana na mliyekuwa mnamwita fisadi na majina yote Mabaym
  13. API Gravity

    Lazaro Nyalandu ajiunga CHADEMA rasmi, Mabomu ya Machozi yapigwa

    Nyalandu alinusa kitu kibaya mbele yake akiwa CCM kakimbilia Chadema, 2020 atagombea ubunge kupitia Chadema (Makamanda watakatwa ili yeye agombee), atakosa ubunge halafu atarudi CCM tena.
  14. API Gravity

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ukweli ni kwamba kuna mgao wa umeme ila Tanesco hamtaki kusema kweli, inakera, inaudhi na inauma umeme kuwa mafungu mafungu na joto hili la Dar.
  15. API Gravity

    Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

    Makonda/Bashite atapotea na Magufuli, yule jamaa tatizo lake kibuli na kutoona mbali.
Back
Top Bottom