Recent content by APA CHICAGO

  1. APA CHICAGO

    Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    TIGO wamezidi ndugu
  2. APA CHICAGO

    Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    Kwa kweli hatari sana imagine 1GB inaisha ndani ya dk 10 bila hata kuangalia video wala kudownload
  3. APA CHICAGO

    Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini? Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow...
  4. APA CHICAGO

    Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Kuna uwezekano mkubwa watu wengine humu mnachangia hii maada hata shule za kata tunazozungumzia hamzijui.Shule za sekondari za kata zinaupungufu mkubwa wa walimu hasa sayansi.Haya hii hoja mfu ya mtoto akakae na wazazi wake ni sawa kwa boarding school lkn kwenye shule za kata mtoto ana kaa na...
  5. APA CHICAGO

    Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Mazingira ya wanafunzi katika shule za sekondari za kata mhe waziri na kamishina wa elimu wanayajua? Je watoto wao wamewahi kusomea hizi shule?.Kuna shule hazina walimu totally wa masomo ya sayansi wanapokuwa form one.Mkuu wa shule anatafuta mwl wa kujitolea walao wanapokuwa madarasa ya...
  6. APA CHICAGO

    Lushoto: Watoto walazimishwa kufeli ili kukwepa gharama

    Halafu kuna mtu anasainisha walimu mikataba ya KPI🤷🏻‍♂️
  7. APA CHICAGO

    Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Sasa kama kesi zilifunguliwa kisiasa na hazina masrahi kwa taifa kwa nini? asifute hata kama ningekuwa mimi ningezifuta.
  8. APA CHICAGO

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Mtoa post hili halimhusu Ndalichako maana uteuzi wa viongozi hawa unafanywa na TAMISEMI .Hao ndo wahusika waje hapa wakujibu
  9. APA CHICAGO

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ha ha ha mkuu bhana unaniombea mazuri
  10. APA CHICAGO

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa nini ndugu unasema Mimi Chawa
  11. APA CHICAGO

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan pokea pongezi nyingi kwa kuijali elimu ya nchi yetu. Hii ni kutokana na serikali yako kuanza kuwajali walimu na miundo mbinu ya madarasa, meza na viti Ninajua wapo watakaokubeza na kukukejeli lakini wewe jipe moyo na songa...
  12. APA CHICAGO

    Kutumia bil. 600 kwenye sensa ni ufisadi

    Hakuna kalani wa kukamilisha kuhoji kaya ya watu 9 ndani ya dk 5.Minimumu ni 30 minutes vinginevyo kalani kalipua kazi
  13. APA CHICAGO

    TAMISEMI kuweni na utu japo kidogo

    Ombi kwenu viongozi wa Jamii forum huu Uzi uwekeni uonekane siuoni ili wahusika wauone wapate ujumbe.Maana hofu yangu kubwa watu wakishajifungia Kwenye vyumba vyenye viyoyozi wanasahau kuwa Kuna watu wanashida Nje.
  14. APA CHICAGO

    TAMISEMI kuweni na utu japo kidogo

    Mkuu test man, we acha tu baba wa watu alikuwa anaongea na maumivu kweli nikawza sana hivi wangekuwa wao ingekuwaje.Yaani unafanya vitu bila kujali Kuna watu Wana athirika na maamuzi yako.
  15. APA CHICAGO

    TAMISEMI kuweni na utu japo kidogo

    Leo nikiwa zangu Maeneo ya Mtaa wa Isevya mjini Tabora nimekutana na mlinzi mmoja wa shule ya sekondari ya serikali akaniambia ya kwake ya moyoni kuwa ana miezi miwili sasa hajalipwa yaani wa Saba na wa nane. Akasema mhasibu wa shule Kila akimpigia anajibiwa mfumo haujafunguliwa wa kuwawezesha...
Back
Top Bottom