Acha uvivu wa kufikiria wewe ko naamini unauhakika kuwa lissu kapigwa na ccm na pia wew ndio ulishilikiana nao na mchezo unaufaham inatakiwa ukatie ushahid kwa hilo sehem husika. Mh. Mbowe anafaa kuigwa na kila mtanzania kwa kuwa mpole na mvumilivu wakati mgumu kama huu. Na hajataka kuihusisha...
Ila nimeamini kuwa hapa Tanzania kuna wasaliti wengi yaani unakubali nchi yako iteketee hivihivi eti kisa magufuli hayo maden inayo daiwa Tz hayajakopwa na Mh. Mgufuli mengine yalikuwepo toka awam ya 2 ndg zanguni wana siasa feki. Fikiri ya baadaye sio ya muda huo. Je, resources of income in our...
Alisubir mheshimiwa rais alianzishe ndipo aanze kuleta sheria zake hapo kwa vile kaona rais anaelekea kufikia ahadi zake? Ujinga kwenye uharisia hatutaki asee
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ko kama ndo majina yao halis una taka yasitajwe kisa yanalenga dini fulan? Anaweza akawa na jina la kiislam lakn asiwe muislam ko huwezi kubadilisha jina la mtu kisa kafanya tukio fulan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.