Recent content by Anuary Da Handsome'b

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    hahahahahahahaha! Update na uiupduti.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    Namaanisha Ajira za Ualimu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

    Kila nikijaribu kuangalia inagoma au ndio bado ina Load?
  4. A

    JamiiForums Tanzania walimu sasa wameua nchi.

    Duuuh! Ni hatari sana.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu!!!!!

    Nimepata fununu toka kwa baadh ya wakubwa serikalini kuwa zisipotoka tarehe 25 siku ya ijumaa basi ni tarehe 28 jumatatu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za walimu hazitangazwi?

    Nimepata fununu toka kwa baadh ya wakubwa serikalini kuwa zisipotoka tarehe 25 siku ya ijumaa basi ni tarehe 28 jumatatu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Bwana awe nanyi katika kipindi hiki kigumu machopitia! Kuna usemi nasema Kosa Hela Ujue Kipaji Chako Na Pata Hela Ushangae Tamaa Yako! Sasa katika kipindi hiki msichokuwa na kazi ndo mda wa kujua vipaji vyenu! Ngoja niwape miongozo kadhaa jinsi ya kupata kazi mujini hapa! 1.Recruitment...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuchelewa kwa ajira za Waalimu

  9. A

    JamiiForums Tanzania ajira za walimu wapya 2013

    Sijajua leo wala jana,nataka niwape ajira KAHAMA MOVIES,wasikae wanapiga kelele tu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuchelewa kwa ajira za Waalimu

    Ila hazitoki sasa hivi: CLICK HAPA NIKUFUNDISHE HAYA MAMBO UONE JINSI MAISHA YANAVYOTAFUTWA,BILA KUTEGEMEA HIYO AJIRA,NJOO TUIGIZE HIVI
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Sijawah kuvaa hereni wewe,hebu kaangalie vizuri,sio kujiropokea mambo usiyo na uhakika nayo.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu sasa ni wimbo,zinatoka kesho usiku

    Nataka niwaajiri KAHAMA MOVIES naona mnahangaikia ajira.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuchelewa kwa ajira za Waalimu

    Necta walishamaliza kazi yao ya kusahihisha na kutoa matokeo,hivyo hawahusiki wameshakabidhisha wizara ya elimu,jipange sio unatoa hoja isiyo na IQ.
Back
Top Bottom