Recent content by Antony

  1. Antony

    JamiiForums Tanzania Kikwete ana Hoteli ya kifahari Zanzibar

    poa ka anamiliki kihalali tatizo nini?
  2. Antony

    JamiiForums Tanzania "Tamko la Pinda"

    pamoja na kuwa Pinda kakiri makosa hatuna budi kukweshicheni utendaji wake wa kazi mi naona ka msindikizji... eti wadau?
  3. Antony

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Asaidiwe kuandaa Hotuba

    we unafikiri hata akiiandikiwa si lazima aweke ukomedi wake, pale hmna kitu
  4. Antony

    JamiiForums Tanzania ''...Tanzania haitakalika''

    zemacopolo ilibidi utafakari kwanza huo ujumbe aliputoa machibya sio kua kukurupuka na kuandika.
  5. Antony

    JamiiForums Tanzania Obama's Zanzibari (Tanzanian) roots

    Obama ni mmarekani mwenye asili ya Africa basi, hii ikubalike kwani tunajua kuwa makabila mengi ya Africa kusini ya jangwa la Sahara ni muingiliano wa watu kutoka sehemu mbalimbali za Africa ila sema tu roots za Obama zikajizatiti Mashariki ya Africa.
  6. Antony

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa wanafunzi 2000 mlimani

    Wadau viongozi wa chuo hawana mpango hata kidogo wa kusaidia watoto maskini wa kitanzania kuthibitisha hilo hebu visit hapa http//www.udsm.ac.tz alafu soma tangazo lenye kichwa hiki PROCEDURES FOR REGISTRATION OF READMITTED STUDENTS
Back
Top Bottom