Obama's Zanzibari (Tanzanian) roots | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama's Zanzibari (Tanzanian) roots

Discussion in 'International Forum' started by Game Theory, Jan 17, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Jamani kuna hatari watu wakapindisha historia na as usual jirani zetu waKenya hili hawapendi kulisikia na ninayo first hand experience ukiwaambia kuwa all said and done Barack Obama asili yao ni Tanzania. Hata uislamu kwenye familia yao ulitokea kwa babu yao aliyesimu from Ukatoliki wakati anafanya kazi Unguja (kama kuna mtu ana version tofauti ailete) lakini ukweli ni kuwa we cannot sit idle wakati wewe na mimi wote tunajua kuwa Obama anayo asili ya Tanzania na ukikisoma hiki kitabu cha DREAMS OF MY FATHER alielezea mara kadhaa kuhusu asili yake ya Tanzania
  [​IMG]
  Sasa Mwenguo na TTB kazi kwenu

  Ndugu yake mwingine huyu hapa:

  Family of Barack Obama - Wikipedia, the free encyclopedia


  Mark Ndesandjo, Obama's Half Brother, Performs Piano Concert In China


  YouTube - Obama's Brother


  YouTube - Obama's half-brother Mark Ndesandjo live in Shenzhen,China

  [​IMG]
  Mark Ndesandjo, the intensely private half-brother of President-elect Barack Obama, plays the piano to raise money for orphans during a charity concert in Shenzhen, southern China, Friday, Jan. 16, 2009. TThe press release for the concert didn't reveal the long-kept secret of who Mark Ndesandjo really is, and nor did the posters and e-mails promoting the event in this southern Chinese boomtown where he wore a brown silk Chinese-style shirt while playing the piano to raise money for orphans. . (AP Photo/Kin Cheung)
  anaitwa MARK NDESANJO na ni MTANZANIA
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Tutaumiza vichwa sana kujaribu kuunganisha undugu na huyu mkuu Obama.Wakenya - kuna wajaluo; watanzania - wazanzibari na sasa wachagga ( ndesanjo) halafu huko Rorya kwa Prof Sarungi kuna wanaodai ni ndugu yao.Sasa kila mtu akishafanikiwa kuonyesha undugu na Obama and then what??
   
 3. Antony

  Antony Member

  #3
  Jan 17, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Obama ni mmarekani mwenye asili ya Africa basi, hii ikubalike kwani tunajua kuwa makabila mengi ya Africa kusini ya jangwa la Sahara ni muingiliano wa watu kutoka sehemu mbalimbali za Africa ila sema tu roots za Obama zikajizatiti Mashariki ya Africa.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  After that said, So what?
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,307
  Trophy Points: 280
  Nimesoma hizo links mpaka kwa Ndesanjo ila sijaweza kuipata The Obama-Zanzibar connection. Pia naomba kama kuna connection yoyote ya huyu Ndesanjo wa China na Muasisi wa Blog za Kiswahili Ndesanjo Macha na yule mwandishi makala wa Daily News zama zile Freddy Macha.
  If there is any connections, please help to connect the dots.
   
 6. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2009
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama walivosema wadau jamani huku kutafuta undugu na Obama kutatusaidia nini? sisi binafsi mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla! mi nafikili mjadala huu hauna tija! najua wengine mtakurupuka ohh kama huipendi thread hujalazimishwa hama! nami nawaambia siwezi kuona kitu kisicho na tija kikiwapotezea muda wenu wa dhamani na nikae kimya!
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Vipi kama Obama angekuwa ameshikwa na madawa ya kulevya huko kwao mngemtafuta hivyo? Jadi ya wabongo,mafanikio kiduchu ndugu lundo.
   
 8. C

  Chuma JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Si vibaya maombi ya GT kufanyiwa kazi...ni sehem ya udadisi...na kama kachemsha ni sehemu ya uanadamu inafaa kurekebishwa...!!!!

  to me haisaidii chochote for obama kuwa mkenya au MTZ....Wakati viongozi tulowapa mamlaka wanashindwa kufanyakazi zao ipasavyo....sie ni masikini lkn sehem kubwa Viongozi wetu wanafaa kulaumiwa!!!!
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Hahhah twamgombea obama....vipi osama akisema anatokea mkuranga au kilwa??hahahakazi kweli kweli....
   
 10. m

  macinkus JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2009
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  "Mark Ndesandjo
  "Barack Obama's half-brother, son of Ruth Nidesand and Barack Obama Sr.[59] He runs an Internet company called WorldNexus that advises Chinese corporations how best to reach international customers. Mark graduated from Brown University, studied physics at Stanford University, received an M.B.A. from Emory University, and has lived in Shenzhen, China, since 2002 and is married to a Chinese woman."

  Ni kweli ni mdogo w BARAKA, baba yake alioa mmerikani mwingine RUTH na kuja naye Kenya, wakaachana na akaolewa na Ndesanjo (Mbongo). Ruth alikata uhusiano na Obama mkubwa hata watoto wao (wawili) akabadilisha ubini wao na kutumia jina la Ndesanjo.

  macinkus
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jan 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe GT mdhaifu sana. Yaani unambabaikia Obama kiasi kwamba hata aki propose kwako utakubali....gotdamnit GT.......that's a man law violation right there and now you stand on the verge of losing your man "status" if you continue kumbabaikia....
   
 12. Haki.tupu

  Haki.tupu JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2009
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa unganishaunganisha ya ukoo na Obama, tusijeshangaa hata Osama naye ni wetu!!!!

  Mwacheni Obama abaki kuwa Mmarekani.
   
 13. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Obama babu ni Mnyaturu wa Singida.Wakati baba yake anatoka Kenya kwenda Zenji walipitia Singida gari likaharibikia pale na akalala na dada mmoja akwamwacha na mimba ya Obama sr.Wakamfukuza huyo dada ili ampeleke mtoto wake kwa baba yake.Ndo akapelekwa Kenya lakini alipofika Musoma akalala na jamaa mmoja akapata mimba.So Obama sr ana kaka yake Musoma kama sikosei ni tajiri tajiri pale Musoma,ndo baadae Obama akaenda kusoma huko Marekani.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jan 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sasa watu mmeanza kuchekesha....eti Obama Sr ana babake Musoma...ahahahahahahahaa...

  Mimi natabiri hivi: Obama akishaapishwa, Tanzania na sisi ghafla bin vuuuu.tutakuwa na maendeleo ambayo hatujawahi kuyaona. Yaani tutawashinda hata Marekani. Kama mnabisha subirini kuanzia Jumanne ijayo muone....

  Obama ni Messiah na hamna atakaloshindwa! Obama yuko katika league moja na Yesu. Dizaini nyie hata hamjui kuwa Obama alizaliwa katika manger.....Someni historia yake muweze kuelewa zaidi
   
 15. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Nahisi kama siyo Tanzania,kenya au uganda basi moja kati ya nchi hizo itakuwa ni moja kati ya states za Marekani.Kuanzia jumatano itaanza kujengwa barabara toka Dar to Zenji kuenzi safari ya Obama sr
   
 16. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2009
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha!

  Mkuu hii nayo kali ya kufungulia mwaka Duh! ..Ebwana eeee....!!!!
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jan 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hiyo cha mtoto wewe. Kuanzia Jummanne litajengwa daraja litakalounganisha Tanzania na Afrika na Marekani. Kwa hiyo watu tutaweza kuendesha kutoka Afrika hadi Marekani na kurudi. Obama ni Messiah...hashindwi kitu. Jumanne mbingu zote zitafunguka na kila kitu kitakuwa pouwa pouwa....
   
 18. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Nasikia speed limit itakuwa 120 m/hr.Kutakuwa na lane 50 ambayo ni ishara ya states 50 za USA zinazoelekea Africa kwenye muungano huo.Weee acha tu.hahahahaaa.wewe NN wewe!!
   
 19. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Obama nasikia ana asili ya Pemba wazazi wake walikuwa karibu na Joni Okelo ndio ukaona hata Ikulu anatembea kwa midundo au hamjamcheki ?
   
 20. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hata watanzania tungekuwa na undugu na Yesu, Mohamed, Isaac Newton, Eistein etc ...haiwezi kutusaidia kama ni wavivu, wazembe n.k. Obama ni kwa ajili ya wamarekani na wamarekani ndio watampima kama amefanya alichoahidi au ala kwa hiyo tuache mawazo ya ajabu ajabu.....
   
Loading...