Recent content by antonopo

  1. A

    Boy child, no girl owe you a better life.

    We inawezekana ukawa mdogo wangu but when it comes to relationship advice uko vzr sana kichwani huandiki kwa kutumia hisia but you do it by reality bila kuangalia maumivu ya huo ukweli your on of the best member I have ever met in this forum congratulations
  2. A

    Nauza tende

    Moja ya silaha muhimu sana kwa mpambanaji ki uaminifu kuwa MWAMINIFU
  3. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tunasubiri kwa hamu story yako inavitu vingi sana vya kujifunza
  4. A

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Dunia tunapita happy kama upo hai na afya aisee cha kusikitisha Tanzania ya sasa siyo zaman na haitakuja kurud tena it's dead and gone
  5. A

    Watanganyika tumejifunza nini?

    Ukweli ni kuwa hakuna kitu chochote au sababu yoyote inayoweza kujustify mtu kufanyiwa manyanyaso iwe mtanzania,mpalestina au mynyarwanda hata Tundu Lisu mwenyewe msimomo wake juu ya kinachoendelea pale mashariki ya kati, kati ya wapelestina na Israel yeye yupo upande wa palestina kwa uwazi...
Back
Top Bottom