Recent content by Antidius.Abel

  1. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtishia mtoto wa dada’ke

    Mwenye contact ya mh Rais nani anisaidie maana uku hali si shwari
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bilion 673.62 TANESCO: Madudu mengine?

    Tanesco siwaelewi mtu unawadai mwaka mzima wakuunganishie umeme ila hawana aibu eti shida waya sasa hiyo ela mliolipwa mlifanyia nini???? Mh Rais sijui kama hii kero ya wateja wa tanesco unaifanyia kazi au kazi ya Tanesco sio kuunganishia waliolipia hela miaka hii bali ni kurekebisha main laini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tanesco tuokoeni tunaumia sana

    Magufuri hanabudi kulikagua shirika hili maana kila sehemu ni hewa tu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tunawashukuru TANESCO kwa kuomba radhi, wameonyesha wanajali

    Ila mh Magu fika na Bukoba uone TANESCO inavyofanya kazi maana kila siku unaambiwa kuwa ofisini hakuna vifaa vya kuunganishiwa umeme kweli miezi saba hadi mwaka na kuendelea
  5. A

    JamiiForums Tanzania LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

    Jina la Chuo tu but lack of competence UDSM Is nothing you find the graduate doesn't know even to express himself /herself competence is what is needed so UDSM watch out
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuanza kwa operesheni kabambe ya kukusanya madeni ya umeme

    Tanesco Kagera wilaya ya Misenyi haina vifaa ni mbwembwe tu yaaani mtu anamlipa ili akaungnishiwe umeme ila kwa wilaya ya Misenyi utachukua miezi 6,7 8mwaka dah! Yaaani haifai km Tanesco wilaya ya Misenyi hamuitambui bora mkaifunge maana ni kero kuliko maelezo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tanesco Kagera wilaya ya Misenyi ni kero kuliko maelezo

    Tanesco Kagera wilaya ya Misenyi ni kero kuliko maelezo wakati Watanzania tunajitaidi kutumia nishati ya umeme ili tuweze kutunza mazingira lakini Tanesco wilaya ya Misenyi hawalioni hilo maana watu wanalipa hela zao ili waweze jengewa nguzo na kuunganishiwa umeme ila lakushangaza ni kwamba...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa apokelewa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akitokea Marekani

    Kende grammatical error is less considered what matters is the meaning
  9. A

    JamiiForums Tanzania Niliaibika nilipoambiwa nifungue kwa sala kwa Kiingereza mkutanoni Ughaibuni

    Dah! Inatisha ulipataje nafasi hiyo au ndo nyie mnao wekwa kuwa ni mtoto wa baba mdogo au wa shangazi?
Back
Top Bottom