Recent content by anti-fisadi

  1. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

    Kalewa dozi huyu,muache mfa maji. Ngoja ahame kweli ndio kiama chao kije
  2. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

    Pumba tupu huyu aliyeanzisha thread hii
  3. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Nani amempa kibali mkurugenzi huyu wa Nokia - Vodacom? Nani yupo nyuma yake?

    Hii ni aibu kwa taifa letu wenyewe kunyanyaswa watakavyo,badae watucheke. I hope serikali itaifanyia kazi hili, hao wachache wala hongo watawajibishwa
  4. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/964540-kuepusha-shari-ushauri-wa-bure-kwa-mbowe-tume-ya-taifa-na-ccm-kuhusiana-na-kuaminiwa-kwa-matokeo.html huyu MMM kaweka ushauri ulio sawa na fair
  5. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Kuepusha Shari: Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Tume ya Taifa na CCM Kuhusiana na Kuaminiwa kwa Matokeo

    MMM katika hili tupo pamoja,tungeomba NEC waweke wazi palipo na lawama na vilevile Ukawa waweke wazi matokeo walio na utata nayo ili iamulike mapema na kwa amani #tanzaniakwanza
  6. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Kuepusha Shari: Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Tume ya Taifa na CCM Kuhusiana na Kuaminiwa kwa Matokeo

    MMM katika hili tupo pamoja,tungeomba NEC waweke wazi palipo na lawama na vilevile Ukawa waweke wazi matokeo walio na utata nayo ili iamulike mapema na kwa amani #tanzaniakwanza
  7. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    kimevurugikaje na ukawa wamesema wana vituo vingi zaidi? ndio maana wanayo matokeo mengine ambayo ni tofauti na hayo waliyonayo NEC, hebu tuwasikilize kwanza au haki ya kusikilizwa haipo tena?? wategemee tume ambayo hawana imani nayo. Na wasiwasi na hichi kiwewe
  8. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    aisee Mbowe akomae,tumechoka kuburuzwa buruzwa na kuhubiri amani ambayo amani yenyewe ni kukubaliana na chama tawala na serikali yake. haki iko wapi kama uhuru wa kujadili matokeo haupo?? tuache ushabiki wa kisiasa, hoja za Mbowe zijibiwe na NEC ili wananchi wapate imani na hili swala
  9. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Fursa zipi zipatikanazo kwa wajasiriamali pindi kiwanda cha cement kifunguliwapo?

    habarini wadau, Pengine katika kujiongezea upeo, kwa wale wenye exposure zaidi. Ningependa kujua fursa zipatikanapo kwa wajasiriamali wadogo kwa wakubwa, maana nchini kumekuwa na viwanda vingi vya cement vinafunguliwa katika mikoa tofauti
  10. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Huo ni upuuzi, hata mimi nishaliona hili haiwezekani ni fitna za wazi.wasubiri kimbunga kiwapitie
  11. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Muhongo: Sikuomba uwaziri nilibembelezwa kuwa Waziri. !

    kichwa yake sio nzima
  12. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    hoja hafifu :msela:
  13. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Denti anayedaiwa kubakwa na Kapuya huyu hapa

    hoax aka kanjanja
  14. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Ninalaani vikali udhaifu wa Kiti cha Spika na aibu ya Taifa letu

    Spika na naibu wake wanafaa kuchapwa viboko
  15. anti-fisadi

    JamiiForums Tanzania Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    huyu mtu alikuwa anajua camera ilipo..watanzania tusifanywe wajinga hapa!! fake bongo movie
Back
Top Bottom