Recent content by Anthony Mtaka

  1. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mwigulu: Wachina "kuomba uraia"

    SIKU TUKIJADILI WACHINA KUPEWA URAIA WA TANZANIA ,TUTASTAHILI PIA KUJIINGIZA KWENYE AJABU. LINGINE. LA DUNIA,KWANGU MIMI HATA KULIKIRIA HILO NAJISIKIA DHAMBI,ITOSHE TU KUAMINI KWAMBA SII KWELI KWAMBA WANA HHIZO KADI ZA KUPIGIA KURA JAPO KWA TANZANIA NA UHAMIAJI ILE YA MIAKA AMBAYO MUHHINDI...
  2. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    JF NI KISIMA CHA FIKRA-HONGERENI JF MEMBERS WOTE
  3. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo Katika Kashfa ya rushwa ya shilingi Milioni 20

    MLETA UZI MUOGOPE MUNGU NDUGU YANGU
  4. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    HONGERA SANA KAKA MAX NA JF-MUNGU AWAPE AFYA NJEMA, ILI MALENGO HAYA MEMA YATIMIE KWA MAJIMBO TISA NA WIGO MTAKAOUTANUA BAADAE. KWA HAZINA YA BRAIN ZILIZOKO HUMU NAAMINI JF ITAISHANGAZA DUNIA KWA AINA YA MIRADI MTAKAYOIBUKA NAYO KWA JAMII. KARIBUNI SANA NA KWETU.
  5. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    MUNGU AKUBARIKI NA KUKUTIA NGUVU KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKO MH.RAIS
  6. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Huyu traffic Riziki wa Kibaha achunguzwe, ana coaster sita, Hon Mpinga tusaidie

    Hoja NI Magari anayomiliki au kazi anayofanya,MAANA Leo mikopo kutoka banks ni mingi,mtu anaweza kuwa amejivuta NA mikopo ya kibiashara,Pili huenda mumewe akawa NI sehemu muhimu ya Magari UNAYOYAONA ,kikubwa mhukumu kwenye uadilifu wa huduma anayoitoa Kama Askari mengine haya jiridhishe SANA...
  7. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    Akimaliza Hilo atuondolee NA mitihani ya multiple choice kwenye hesabu( SWALI , 1+1=a 2,b,3c,hakuna jibu sahihi
  8. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Kweli mtoto wa mkulima kaamua kuwekeza

    HAKIKA anastahili kupongezwa kwani ameyaishi maneno yake,Akiwa PM alihamasisha SANA Ufugaji wa nyuki,NA SASA KWA YEYE mwenyewe kuuza asali yake NI DHAHIRI Ametenda alichokihubiri KWA MIAKA 8 Akiwa PM
  9. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

    Inafikirisha NA kutafakarisha SANA
  10. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Kwa Style hii Mh unaipa shule laki 6 unasema Elimu bure?

    Jambo LOLOTE katika yaliyomengi linapoanza Kama jipya linakuwa NA CHANGAMOTO ZAKE,kikubwa limeanza,naamini katika utekelezaji wa sera hii mwaka wa kwanza huu utatoa CHANGAMOTO zitakazopelekea maboresho,binafsi uthubutu wa kutenga Bilioni 130 KWA mwezi Ili kuwaondolea WAZAZI Ada NA michango ISIYO...
  11. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif ni mvumilivu sana

    Tumpe MUNGU nafasi
  12. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ilala aongelea mikakati ya usafi na ubunifu wa ukusanywaji wa mapato

    Kila la HERI,MAANA kubwa NI wananchi wapate huduma,-MUNGU awape mshikamano MWEMA Kama kiongozi NA viongozi wenzako
  13. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Balozi wa Israel nchini Ikulu leo

    Safi SANA
  14. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania George Masaju ni mnafiki

    "Unafiki wa kwanza upo Kwako wewe mleta habari za kinafiki"-maana ulivyoifinyanga habari hii ili kuihalalisha ni full unafiki.
  15. Anthony Mtaka

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa serikali za mtaa: Wakurugenzi watano wafukuzwa kazi

    Safi sana
Back
Top Bottom