Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,359
- 2,379
Huyu nae si alitakiwa ajiuzulu?ina mana ile eskelewu hakuijua?waandishi wetu nao ni makanjanja au ndiyo hizo bahasha za kaki...
wakati Masaju anatoa utetezi wa kwamba apewe muda ili asome majalada ofisini kisha aje na majibu, kwa nini wasimuulize kuwa miaka yote aliyokaa kama Naibu AG alikuwa akifanya nini? Maana alijibu lile swali kama vile yeye ni mgeni kwenye ofisi ya AG wakati si kweli.