Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea.
Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya...
Habari wanajamvi.
Naomba kufahamishwa hivi kuomba ruhusa ya kazi ya serikali nikaenda kugombea Ubunge/udiwani nilipita baada ya kumaliza miaka yangu mitano naweza kurudi kwenye kazi yangu ya serikali tena?
Kama ni 25M Basi ni kakibunda kazuri japo itabidi nikiingia niendeshe harakati nimuunge mkono John heche kulipazia sauti hili tuongezewe mafo na mshahara Magufuli alizingua alipokataa kupandisha mashahara kutoka 350000 Hadi laki 8 au milioni kwa mwezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.