Recent content by Anthony Alfred Mgina

  1. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Idadi ya wabunge wa upinzani kwa sasa tunatosha kumg'oa Rais Magufuli

    Hoja aliyonayo Mh Zuber ni ipi hapo, anataka Mheshimiwa atambue njaa ipo au inakuja?, au atoe chakula kwa wananchi?.....acheni hizo bana!, sikiliza nimemwelewa Rais ni kwamba kuna watu watabweteka iwapo atawalegezea kamba ya njaa, yaani wananchi wasirudi nyuma kupambana na hali inayowakabili...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Samahani hapo juu nilikua na maana kuwa kuna tofauti kubwa ya bajeti hafifu na tendo la ukuaji uchumi. Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Ndugu yangu kuna tofauti kubwa na tendo la ukuaji uchumi, kwani inawezekana bajeti ikawa hafifu sababu zinazopatikana hazifanyiwi uadilifu na matumizi mabovu, kuhusu hili la arbitrary detention ni mtu mwenyewe kutoheshimu amri na taratibu za nchi na haswa baadhi ya wana siasa sasa kaka unadhani...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Magazeti mawili yakaliwa kooni kuvujisha siri ya uhusika wa Muhongo kupandisha umeme

    Hukunielewa Mr bright brain, sikua na maana kwamba hakuna mtanzania mwingine zaidi yake isipo kua ninapenda utendaji kazi wake. Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
  5. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    You have or you had ? mbona kiswahili kizuri tu ndugu yangu.Ipo hivi ndugu yangu... uhuru wa vyombo vya habari upo ilaulio na mipaka na kuhusu demokrasi haipo duniani kote kama unazijua nchi za demokrasia nitajie, unaijua hii ' wagawanye kisha watawale' ingefanyika wapi kama si kwenye...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Serikali kama vile familia, ukiwa kwa baba yako na mama yako kabla ujaanza maisha yako utaishi kwa kuwaheshimu na kufuata taratibu zao, uwezi kujiamlia. Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Kwa kweli Mh Lowassa wewe ana heshima yake, ni mchapa kazi, mvumilivu na sifa zingine nyingi tu hawa vijana wa CHADEMA watakuumiza kwa kukupelekesha hizi kazi waziweza wao waachie, watakupotezea mambo mengi na sifa zako, Mzee kazi na umri! Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Anza kuchanyikiwa wewe halafu uone!. Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Haaah! haaaaa........., bado hujui mambo mengi sana nchini mwako, fanya kazi zako bana mbona wewe unalindwa na unahudumiwa na serikalijapo si moja kwa moja, hawa wanasiasa huwajui kaa chini tumia akili zako sawasawa utaelewa tu. Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye vigezo hivi

    wewe una matatizo, vigezo vya mke sasa havipatikani huku, ktk kanisa lenu hakuna mwanawake?.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Mtajua wenyewe wakereketwa, si mnawajua wenye sifa za PHD au tuziseme? oooh! mbona bado watalia sana, wamejisahau wamekunywa jina lake sasa wamelewa dira hawaioni, kifupi ile ya PHD ya mezani haipo sasa ipo ya darasani sasa, Daah! Mzee nayeee unakamua unafinya hadi na plaizi!!!......., Hakuwa na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Zitto: Magazeti mawili yakaliwa kooni kuvujisha siri ya uhusika wa Muhongo kupandisha umeme

    Ni kweli kabisa Muhongo namkubali sana kiutendaji na si siasa na mimi ni shahidi katika hili kama ni makosa ni kibinadamu, huyu jamaa ni kiboko, na kama wakimuondoa itaniuma sana, na nina muomba Mh Rais awe bega kwa bega na Muhongo ajili ya maendeleo yetu.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

    Midomo tu hapa watapatikana wengi! ...... hakuna uzembe katika kazi kama unavyofikiri, ati jasusi!.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda (RC), Naomba usikilize Kilio Changu juu ya Wanawake wa Dar es Salaam, Please

    Hiyo kazi ndogo sana ongea na watu wa haki za binadamu wawe kimya kisha uongozi wa serikali kimya, adabu ni siku tatu tu! maana hao ndo wanawatia kiburi.
Back
Top Bottom