Nanukuu "Dada habari,unanijua mm mmh sikujui ,na huku nanaonekana tbc zekomedi,mpoki: naitwa mjuni... Mdada:jingine... Mpoki:aah! Jingine la nn tena... Sista:bac mpoki:dada unasoma wapi? Sista:unauliza na huku unaona hapa n mliman .... Mpoki:unasoma shahada gani?.... Sista:nasoma veta duh...