Pole sana mkuu. Ndio hivyo hivyo spirit za kifisadi huanza.Kuna complaint nyingi sana fro stanbic client though hatujui kama zote ni za kweli. We still believe in few commited bankers.
Bwana wasira anazeeka vibaya. And another factor ni kwamba yeye mwenyewe anaishia kupiga fitna tu bu ki utendaji ni sifuri. Just like how we used to see kinana. Chadema ipo kwenye transion all rumours will vanish very soon.You will see.
Katibu mkuu wa chadema dr.wilbroad slaa akihojiwa kuhusu hali ilivyo ndani ya chadema amedhibitisha kuwa viongozi waliosimamishwa kazi mikoani wamehusishwa na vitendo vya rushwa na utovu wa nidha mbele ya kamati kuu.Amesema kwa sasa hali ni shwari japo kuna upotoshwaji na siasa chafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.