Recent content by Answaar Mubaarak

  1. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    lakini mbna imekubali kaka
  2. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    mimi mwenyewe nmeshangaa kweli....maana nlitumiwa code juzi usiku,sasa jana nmeingia ili niingize code afu niconfirm,nashangaa nakuta option ya ku-confirm tu bila kiweka code popote pale...na nlivofanya hivo nkaona imekubali kwamba nmekuwa confirmed.... angalia hapa nimesceen shot
  3. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    kuna kipengele cha kuweka code?au una unaconfirm tu bila kuweka code?
  4. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    hata ww umeona mkuu?udsm codes hazitumiki
  5. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    multiple mkuu,kwani vp mkuu?
  6. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    ndio skuombwa code kaka,nmepewa option ya ku-confirm tu...... ila kw vyuo vingne option hio ya code ipo
  7. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    thanx qaqa,chuo gani hicho codes zinagoma?
  8. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    mbna codes znakuwa hazina maana tena kwa udsm,maana hakuna sehem ya kuingiza code,kuna sehem ya ku-confirm tu... embu angalieni account yangu hii apo attachment nmeiscreen shot
  9. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    dah me nliwapigia wakanambia mchana watakuwa tayar washa-update,ndo nataka ncheki hapa onetym
  10. A

    Hatimaye TCU wameanza kuachia code

    jamani kuna mtu wa udsm ambae account yake tayari imeshakuwa updated ili aweke confirmation code?
Back
Top Bottom