Recent content by ansvin

  1. A

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hakuna MTU ambaye haombi ushauri , na kiongozi bora lazima usikilize ushauri ongeza na zako Fanya maamuzi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Amemsaliti mara tano anastahili kuolewa nae?

    Unajua mapenzi ni kitu cha ajabu sana , ameshasema amesalitiwa sasa hapo kuna ushauri tena achukue maamuzi ,anasita bado anampenda kwa maoni yangu kwa sababu ni swala la ndoa amushirikishe mungu zaidi kwa maombi
  3. A

    JamiiForums Tanzania A true Tanzanian never goes down!

    Mtaongea mengi majibu 25 saivi majibu anayo mungu tuu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mwisho was siku mtakuja kujua hakunaga siasa safi, watu ni wale wale wanataka kutuumiza vichwa tuu na kutuchanganya, tutafakari
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natabiri matukio yatakayotokea katika uchaguzi huu

    Ccm juuu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo Tanzania ni vita ya werevu na wapumbavu wengi

    Pia wapo wenye elimu wasio weza kung'amua mambo hata ukiwauliza wanataka nini hawajui
  7. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Arusha upo kama naota vileee
  8. A

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Ninachojua usanii na siasa in kama mashariki na magharibi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Jaman amepitia mengi kibinadamu lazima unachoka mwili na akili pia angekuwa mtu mwingine nadhan angekuwa anatembea na drip hata wenyewe humu tunajijua tujiweke kwenye situation yake ungekuaje
  10. A

    JamiiForums Tanzania #Selfie imefanya wanaume tushindwe kuona makalio ya wanawake

    Aahaa mwanamke shape tabia itarekebishwa oky na sisi tulionyimwa shape na tako sijui mmmh
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amebadilika ghafla masharti yamekua mengi

    Jaman mpaka akasema anahali mbaya means anampenda , tusikimbie kusema wasichana wapo wengi ni kweli wapo wengi but not wealth to be in relashionships na tukiwa na mawazo hayo hatutafika popote
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sijui kama ni kweli!?

    Mmmh lisemwalo lipo ona sasa
Back
Top Bottom