Recent content by Anordynho

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Busisi - Kigongo kivuko kimoja ndicho kinafanya kazi na kupelekea usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa huduma hiyo

    Naomba Serikali iangalie kuna changamoto katika kivuko cha Busisi - Kigongo ambapo kuna vivuko vitatu yaani MV Mwanza, MV Misungwi na MV Sengerema lakini kwa sasa kivuko kinachofanya kazi ni kimoja tu vingine vibovu. Hali hii inasababisha foleni kubwa sana ya magari ambapo athari yake ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Serikali inatenga bajeti kubwa michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA ya nini wakati haiendelezi zaidi wenye vipaji?

    Nauliza kwa sasa tunaona UMISETA na UMITASHUMTA unafanyika, serikali imetenga fungu lakini matokeo yake ikifika hatua ya kitaifa yaani mfano tumepata vijana kikosi cha taifa kwenye football, volleyball, netball, basketball, handball, matokeo yake hawaendi popote wanarudi tu makwao! Maana yake...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa Boom SAUT

    Nauliza ni lini wanafunzi kutoka chuo cha mtakatifu Augustine Tanzania SAUT watasaini hela zao za kujikimu awamu ya nne angali wenzao kutoka vyuo vingine washasaini pia huu ucheleweshaji kuna changamoto gani?
  4. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Mpya: Mambo ambayo tunapaswa kuyafanyia mageuzi

    ELIMU: Tunajua kuwa elimu ni kitendo kinachohusishaa masuala mazima ya mabadilishano au urithishwaji wa maarifa, mawazo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwinginee ay jamii moja kwenda kwenye jamii nyingine. Katika TANZANIA tuitakayo tunatakiwa kubadlishaa mfumo wa elimu kuwa wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Yaani usichukuee kazi ya mtu mwinginee
Back
Top Bottom