Recent content by Anora

  1. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani natafuta mke wangu kuoa.

    Wewe una Masters au Phd au Degree:(?
  2. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani natafuta mke wangu kuoa.

    Im under 29, halafu hapo muajiriwa kwa ajili gani? unataka kuniomba hela:):):):)
  3. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani natafuta mke wangu kuoa.

    Hahahaha ngoja nisubiri mwingineeee....:D
  4. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    Najipanga kuanzisha thread yangu:D:D
  5. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani natafuta mke wangu kuoa.

    Masters na umri vimenikosesha mume[emoji22][emoji22]
  6. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    Namaanisha mwanamke na watoto anao you think about the kids, their future, the society, and everything
  7. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    Sometimes you have to give people the taste of their own medicine, im not blaming you for a revenge coz i know at least you feel released. Hata huyo amenenepa sababu ya stress, stress zinanenepesha so you won. Ila you guys jaribuni kuvaa kiatu cha mwanamke ambae umemsaliti halafu hana uwezo...
  8. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

    Nimeshangaa hiyo haraka unayomaanisha wakati post ina miezi mitatu.
  9. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

    Haraka????
  10. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

    Sihitaji ushauri!
  11. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

    Ningeenda kwenye jukwaa la jokes
  12. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

    Rudia post yangu kwa makini, for the time being natafuta rafiki sio mume, if happens huko mbeleni tukaamua iwe hivyo baada ya kuona kama tunaweza kucopy poa bt purposely not mume!!!!! So thanks for advice.
  13. Anora

    JamiiForums Tanzania CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

    Fidel Castro amefariki. Mojawapo wa miamba mikubwa ya siasa za Ulimwengu wa Tatu katika nusu ya pili ya karne ya ishirini imetoa pumzi yake ya mwisho. Yule ambaye Henry Kissinger, mwanadiplomasia wa Kimarekani na hasimu mkubwa wa Mapinduzi ya Cuba chini ya Fidel, aliwahi kumwita 'the most...
  14. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

    kwani pm wewe hupajui?
  15. Anora

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

    Mimi sio single mother nimesha-disqualify
Back
Top Bottom