Recent content by anold johny

  1. anold johny

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    kama n tofauti n kuku wa kisasa fuga hao wa kienyeji hila uwe n michongo mingine inaingiza kipato.....hila kwangu kuku kienyeji is for fun, au mtu anataka kujionyesha yeye wa zamani hila hapo hamna biashara... Nunua cage ata ya kuku 200 layers wakianza kutaga miezi 4 umerudisha gharama zako...
  2. anold johny

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Sijakataa wana faida tena nzuri tu Hila by fact Imagine una mitetea 100 ya kienyeji inataga na unailisha ratio nzuri tu ya dukani na baada ya siku 22 ya utagaji mitetea 70 inahitaji kuatamia mayai kama ilivyo nature yao. Usipo wapa wayai itabidi uwafungie week moja plus wanakula bure hili...
  3. anold johny

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Mkuu umeongea kitaalam sana[emoji120][emoji120] Mimi nimefuga kuku wote kienyeji na chotara ntatumia namba zaidi make hazidanganyi Mfano ukinunua kifaranga cha chotara wa mwezi 4500/ Gharama za chakula kama kweli uwabanii utatumia 7000/ kwa kuku mmoja hadi anafikisha miezi mitano ambayo vitabu...
  4. anold johny

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Yai la kuku wa kienyeji linakuwa feasible kutotolea kabla ya kufika siku 14 na kuku anaanza kuantamia walau kufika siku ya 21 so mayai yenye uwezo mzuri wa kutotolewa n almost 7 na hapo tumeassume kuku kataga siku zote had siku anataka kuatamia Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  5. anold johny

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Yes kilimo na ufugaji kimeingiliwa na madalali wengi amao hawafugi wala kulima kazi kuuza pembejeo na madawa kwa commissions[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  6. anold johny

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    hakunaga ufugaji wa kuku wa kienyeji kibihashara......labda uwalishe udongo cyo vyakula vyenye ratio nzuri Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  7. anold johny

    Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

    kuku wa mayai ya kisasa Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  8. anold johny

    Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

    Wanasiasa na maafisa ugani wanawadanganya watu kujiajiri et ujasiliamari kwa kufuga kuku[emoji28][emoji28][emoji28] hii ni kazi kichaa, watu wanaona ina faida bcoz hawaweki records za matumiz Pure layers atleast ina faida hizi nyingne is for fun guyz Sent from my SM-A207F using JamiiForums...
  9. anold johny

    Msaada: Yai la kuku limepata ufa kabla ya kumalizika kwa siku za kuatamia

    kwanza unaangaliaje mayai wakat kuku ameshahatamia ulipaswa kuyaandaa kabla ya kumpa hapo unayapa stress hlo yai limeshaharbika Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  10. anold johny

    Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

    ukiweka mbolea utadouble mzee....achana n njia za asili. Nitrogen kweny udongo inahtajika sana Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  11. anold johny

    Naomba kujuzwa mchanganyiko mzuri wa chakula cha nguruwe

    dhhh hii n hatari... wabongo hawajui kwamba ww unapoingza buku haimfanyi yy hasiingize buku yake
  12. anold johny

    Naomba kujuzwa mchanganyiko mzuri wa chakula cha nguruwe

    Habari ndungu, Mimi nimfugaji wa nguruwe ni nimekuwa nikipata shida kwenye kunyanganya chakula kizuri cha ziada kwa ajiri ya nguruwe wangu na sitaki kuwalisha mabaki ya chakula. Kwa anayejua ratio nzuri ambayo imempatia matokeo mazuri anijuze! Asante
Back
Top Bottom