Recent content by Anofaby

  1. Anofaby

    INAUZWA Bajaj TVS king inauzwa bei rahisi

    Unaelewa sema wewe sio mnunuzi.
  2. Anofaby

    INAUZWA Bajaj TVS king inauzwa bei rahisi

    Inahitaji kiasi kidogo ili iwe kama unavyotaka,, nikifanya hivyo hautafika bei.
  3. Anofaby

    INAUZWA Bajaj TVS king inauzwa bei rahisi

    Ukifika 2.5 tunaweza kuingia makubaliano
  4. Anofaby

    INAUZWA Bajaj TVS king inauzwa bei rahisi

    Hiyo ni service ya kawaida mkuu
  5. Anofaby

    INAUZWA Bajaj TVS king inauzwa bei rahisi

    Tvs king namba B ya 2017 Ipo katika hali nzuri, tatizo imekosa matunzo, haijawahi kufunguliwa injini wala kupelekwa bodi. Inafanya safari Ubungo Riverside> Mwenge Unafika unawasha na kuondoka. Ipo Ubungo 0654314066 Bei 2.8milioni.
  6. Anofaby

    Car4Sale Toyota IST inauzwa

    Asante kwa kutupa uzoefu wako.. naikubali sana IST
  7. Anofaby

    Car4Sale Toyota IST inauzwa

    Naomba nitumie picha 0654314066
  8. Anofaby

    Car4Sale Toyota IST inauzwa

    Inatembea moja kwa moja kama wewe hujaamua kupumzika.. ila automatically safari ya Dar to mwanza lazima utapumzika. Ist haichemshi.. nshawahi endesha IST dar to bukoba nlilala ushirombo.
  9. Anofaby

    Car4Sale Toyota IST inauzwa

    Unaweza kuja kuiona ubungo riverside
  10. Anofaby

    Car4Sale Toyota IST inauzwa

    Bei milion 7.5 0654314066
  11. Anofaby

    TCRA: JamiiForums haifuati masharti kama mitandao mingine, mitandao isiyofuata masharti tutaifungia

    Tena ndo tutakuwa huru zaidi wakiuhamishia nje ili wakome vizuri
  12. Anofaby

    Samsung A7 -can't install Google services

    Msaada simu yangu Samsung note 2 imefungiwa naitumia kwa internet pekee kwa laini ya halotel.. ila siwezi kupiga inaandika emergency calls only.. kwa mitandao mingine.. msaada plz
  13. Anofaby

    Kwako mpenzi wa E-Fm Radio

    Fransis sizza aka majizzo
Back
Top Bottom