Samsung A7 -can't install Google services

Arsenalist1

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
163
Reaction score
50
Habari za jioni wadau....kuna sim mpya imenunuliwa Hong Kong imekuja mpya kabisa lakini haina Google services, aplication zone zilizobaki zinakubali apart from application za Google services... (Gmail, play store,.... )..naomba msaada wenu
 
Nenda Google andika hivi, "download Google installer apk" then uta search ukiipata hiyo apk install then fuata maelekezo
 
Nilijaribu, haikubali..inandika not compatible
 
Asante sana kaka nashukuru....steps zone nimefata kama maelekezo, Ila vending imekata
2c0e5f182a972fcf14a236ecd5183cc1.jpg
9f3b5f188ac4811c5f932366cdf61cf7.jpg
 
Habari za jioni wadau....kuna sim mpya imenunuliwa Hong Kong imekuja mpya kabisa lakini haina Google services, aplication zone zilizobaki zinakubali apart from application za Google services... (Gmail, play store,.... )..naomba msaada wenu
Kama hizo option zote zinagoma flash new rom tu.
 
Msaada bado nasubiri
Bro hapo nishida..
Fanya kujaribu kitu kimoja japo ni risk,download global firmware kisha flash humo ,ikikubali hapo flesh ikigoma itabid uangalie kama kuna custom rom uweke
 
Sawa nitaangalia
 
Msaada simu yangu Samsung note 2 imefungiwa naitumia kwa internet pekee kwa laini ya halotel.. ila siwezi kupiga inaandika emergency calls only.. kwa mitandao mingine.. msaada plz
 
Back
Top Bottom